HahahaIla Wanaume kuna muda mnapenda tu kuchanganyana.
Atakwambia ni jokesUnatoaje siri za mteja huyo anapaswa afukuzwe kazi
Nayeye wamfanyie jokes kumfukuza kazi hana maadili ya kazi yakeAtakwambia ni jokes
Hakumtaja jina, so hajatoa siriUnatoaje siri za mteja huyo anapaswa afukuzwe kazi
hakuna Bikra ya kukopa km umewahi kumtomba mwanamke bikra utaelewa tu hakuna bikra ya kukopa ikienda imeendaMkuu,
Saivi wanakubambikia Bikra feki vizuri tu, wamejizatiti. Unaeza chukua mama wa watoto kadhaa ukidhani ni Bikra kumbe umeyakanyaga!
Anaweza kuwa hajazaa ila ashachakatwa sana, bikra yake ni bandiaHizi unazingua Mbona Mapema Tu, Na Mwanamke aliyezaa Na Ambaye Hajazaa Wana Tabia Zinazotambulika Mapema tu..
NAKAZIAAAAKUOA MWANAMKE BIKRA NI MUHIMU SANA
kama mpaka leo hujui bikira feki na OG tafuta kuzijua mzeeMkuu,
Saivi wanakubambikia Bikra feki vizuri tu, wamejizatiti. Unaeza chukua mama wa watoto kadhaa ukidhani ni Bikra kumbe umeyakanyaga!
View attachment 3715256
Ni wapi nimekwambia sijui?kama mpaka leo hujui bikira feki na OG tafuta kuzijua mzee
Mnakosea sana kutumia mifano ya majitu mapumbavu yasiyojitambua! Huyo mwanamke ni takataka wala hafai kutumiwa kama mfano! Kuna ma singo maza wako wanafanya vizuri tu kwenye ndoa zao. Mimi wa kwangu angefanya ujinga huo ningekuwa nimeshamdaka! I am proud of her!
We jamaa kuna namna hauko timamu kichwani,Lakini ni vizuri kufahamu kua,
kitanda hakizai haramu,
na kujikosesha amani mwenyewe ndani ya ndoa yako mwenyewe ni kujipa mateso makali ya kisaikolojia maisha yako yote,
na pengine ulimi ukiteleza siku moja, ikawa ndio mwisho wa maisha yako hapa duniani dhidi ya unaemdanganya kwenye ndoa hiyo 🐒
ulie timamu mbona tunafurahia nonsense za huyo mwanamke mjinga ambae anajikosesha amani mahali ambapo anaishi kinafiki, hali ya kua mahaba yake yako nje ya hapo alipo?We jamaa kuna namna hauko timamu kichwani,
Sasa kama alikuwa anampenda huyo aliyezaa naye kwa nini hakubaki singo ili aendelee kuzaa naye? Hilo mama takataka kabisa!Huyo mwanamke hajakosea popote pals.
Mwenye makosa ni huyo mwanaume asiyejitambua.
Mwanamke anahaki ya kuzaa na mwanaume anayemtaka. Ilimradi wakubaliane. Basi!
Wewe ulitaka mke umepata.
Kuhusu watoto hiyo ni ishu nyingine. Inategemea makubaliano yenu
Unataka kusema wanawake wote hawajielewi?Kwa mwanamke anayejielewa hawezi kufanya hayo!