mwanaume kweli hanun ..et siku 5 hamuongei??
km ana hasira sana atatoka ataenda ukooo badaye atarud mtalizungumzia tatizo
ukiona kakununia et wiki mmh jaman ..uenda naye alikuwa anatafuta kaoportunity falan ivi juu ya kitu faln ivi..
wanawake mara nyng ndo wananuna...wanaume wanapenda kuclear tatizo once n 4ol...
sasa unaonyesha umekomaa vya kutosha kwa wazo lako hili la leo!!!!!!karibu upate "TANDORI CHAPATI""
mwanaume kweli hanun ..et siku 5 hamuongei??
km ana hasira sana atatoka ataenda ukooo badaye atarud mtalizungumzia tatizo
ukiona kakununia et wiki mmh jaman ..uenda naye alikuwa anatafuta kaoportunity falan ivi juu ya kitu faln ivi..
wanawake mara nyng ndo wananuna...wanaume wanapenda kuclear tatizo once n 4ol...
Wanaume kununa kupo ila kupo tofauti sana na kununa kwa wanawake.Wakati ambapo mwanamke anaweza kununa mwezi kama kaudhiwa,ili abembelezwe maana kudeka pia ni hulka ya wanawake wengi. Mwanaume si mara nyingi kufanya hivyo. Mwanaume anayenuna hata wiki moja huyo ni kazi sana kuishi naye!
Kwa kawaida mwanamke ananuna kama njia ya kutoa ujumbe wa kutoridhika na jambo.Ukiona mwanaume kanuna hasemi naye anaweza kuwa anatoa ujumbe kuwa kuna kitu hakiko sawa ila anajua akianzisha mjadala utaishia vibaya. Katika hali kama hiyo, mwanamke mwenye kuelewa na kutaka kusawazisha mambo basi atachukua jukumu kuanzisha mazungumzo na mara nyingi mwanaume atafunguka, wataongea na kumaliza mambo.Mwanaume ambaye bado ataendelea kununa basi huyo hana nia njema na uhusiano.
Roger that, the st. likes those...hapana nuna sisi....kasirika tu inatosha.....vunja tv, radio etc....vunja kasirika.....
Hapana nuna...!
:israel::A S-baby::A S-baby::A S-baby::kiss: © ® to st. roya!
Wanaume bwana huwa hawanuni zaidi ya siku tatu ..hawapendi malumbani lakini sisi kina mama unaweza kununa mpaka sura inaanza kupoteza mvuto
sijui tukoje sie
mwanaume kweli hanun ..et siku 5 hamuongei??
km ana hasira sana atatoka ataenda ukooo badaye atarud mtalizungumzia tatizo
ukiona kakununia et wiki mmh jaman ..uenda naye alikuwa anatafuta kaoportunity falan ivi juu ya kitu faln ivi..
wanawake mara nyng ndo wananuna...wanaume wanapenda kuclear tatizo once n 4ol...
FL umenichekesha hadi basiWanaume bwana huwa hawanuni zaidi ya siku tatu ..hawapendi malumbani lakini sisi kina mama unaweza kununa mpaka sura inaanza kupoteza mvuto
sijui tukoje sie
inategemea na kosa ...
hata kosa likiwaje
wanapenda kulizungumza ata km matokeo ya maongez ni mabaya lakin ata least kazungumza na siyo kurefusha mdomo km chujio la chai....
:tape::tape::tape::tape::doh::nono: this is not a woman to marry
Sijui leo nimenuna, hebu ngoja nijicheki kwanza
vunja tv,radio,kabat+KUGEUKIA UKUTAN....