Mwanaume epuka mwanamke maskini

Mwanaume epuka mwanamke maskini

Mmeo ana wivu wa kugongewa, hii inategemea lakini kama wewe sio mtu wa ku entertain wapuuzi na kucheka cheka nao sijui chattings wivu hauwezi kuwa kero ila kama unat tabia za kijinga ni ngumu kuwa na amani nae!
Hakuna asie kua na wivu hata mie nna wivu wakuchukuliwa mume wangu ila tuna heshimiana na kuaminiana....
 
Hakuna kitu nakipenda kama kumshika mkono my lovely pale alipokwama. Ndio maana ya mimi kuwepo atiii mtu anajitahidi kukutunza kuitunza familia siku ameishiwa kidogo anadhalilika hadi marafiki wajue!!! No I will be there to fill the gap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna asie kua na wivu hata mie nna wivu wakuchukuliwa mume wangu ila tuna heshimiana na kuaminiana....
Kama mna heshimiana ni freshi, means vitu asivyopenda hutofanya na yeye asifanye ambayo hupendi!
 
Marriage practitioners will undispute with me.Let's be practical,before a man marries he must have a job/wealth at least to provide for hia family needs.with that start it's ease to push a goal keeping woman to open an enterprise to keep stirring up the cash flow and eventually meets the economic oriented demands of life.hayo ni mawazo yangu tu
 
Siku ukisikia analiwa na boss wake au wafanyabiashara wenzake ndio utajua nini maana ya mama wa nyumbani..ila kiufupi suala la mapenzi na mahusiano ni pasua kichwa mana hayanaga formulas

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukiwa kazini ukapigiwa simu kuwa mkeo kamuingiza kidume chumbani kwenu na anapigwa miti kwenye kitanda chako ndio utajua kuwa maisha ya ndoa hayana formula hata kidogo.

Muhimu ni kuhakikisha mke anaingiza kipato ili siku ukitangulia aweze kujisimamia.
 
Ndugu,

Nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati.

Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela. Kumbuka kuna kifo na hatujui atakaetangulia.

Je mwanaume ukatangulia ni nani atawalea hao watoto? Japo kuna mila zingine zinadai mwanamke pambo la nyumba, lakini kwa sasa zimepitwa na wakati.

Mwanaume epuka mwanamke goal keeper.
Mwana mme amesha ambiwa ata kula kwa jasho na mwana mke ata zaa kwa uchungu sasa una taka nini Acha uwoga wa maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukiwa kazini ukapigiwa simu kuwa mkeo kamuingiza kidume chumbani kwenu na anapigwa miti kwenye kitanda chako ndio utajua kuwa maisha ya ndoa hayana formula hata kidogo.

Muhimu ni kuhakikisha mke anaingiza kipato ili siku ukitangulia aweze kujisimamia.
Mkuu wanawake tuna wafosi tu kuhangaikia maisha ila jukumu lao kuu ni kutunza familia na kulea watoto..kufa ni mipango ya mwenyezi..

kuanza kutegemea mwanamke aingize kipato cha familia huo ni udhaifu mkubwa..your not a man enough for the family.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wanawake tuna wafosi tu kuhangaikia maisha ila jukumu lao kuu ni kutunza familia na kulea watoto..kufa ni mipango ya mwenyezi..

kuanza kutegemea mwanamke aingize kipato cha familia huo ni udhaifu mkubwa..your not a man enough for the family.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema kumtegemea kwa kipato chake, nimesema kumfanya awajibike ili Mungu akiamua yake aweze kujimudu.

Karne hii unaoa mwanamke aliyeenda shule, kwa nini akae nyumbani? Hata hivyo jukumu la malezi ni la baba na mama, wala sio la mama peke yake.
 
Back
Top Bottom