Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,791
Hasa wanawake waswahili wa vitendo.Ndugu,
Nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati.
Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela. Kumbuka kuna kifo na hatujui atakaetangulia.
Je mwanaume ukatangulia ni nani atawalea hao watoto? Japo kuna mila zingine zinadai mwanamke pambo la nyumba, lakini kwa sasa zimepitwa na wakati.
Mwanaume epuka mwanamke goal keeper.
Hawafwai hao.