Mwanaume epuka mwanamke maskini

Mwanaume epuka mwanamke maskini

Mwanaume uliumbiwa kuhangaika we tafuta hela tu hiyo ndio kazi yako ili mkeo aishi kama malkia
sawa vidume kazi yetu kufaiti maisha yawe bora siku baada ya siku hatukwepi majukumu yetu,ila hapo kwenye mke aishi kama malkia tuanze na wewe kwanza unaishi kama malkia?
 
Mkuu una point nzuri sana,ila Heading yako haiendani na ulichoandika.Kuna tofauti kati ya mwanamke maskini na mwanamke mchakarikaji au mpambananaji.
 
Ndugu nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati.Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela.Kumbuka kuna kifo na hatujui atakaetangulia.Je mwanaume ukatangulia ni nani atawalea hao watoto?.Japo kuna mila zingine zinadai mwanamke pambo la nyumba,lakini kwa sasa zimepitwa na wakati.Mwanaume epuka mwanamke goal keeper.
Ujaeleweka,mwanamke masikini n yupo hapo#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati.Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela.Kumbuka kuna kifo na hatujui atakaetangulia.Je mwanaume ukatangulia ni nani atawalea hao watoto?.Japo kuna mila zingine zinadai mwanamke pambo la nyumba,lakini kwa sasa zimepitwa na wakati.Mwanaume epuka mwanamke goal keeper.
Anashinda anchek TV, ana chat ,lookn laziness n kwasababu tu hujamuezesha..

Ukimwezesha atafanya#tunawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu nawashauri kwa wale ambao mnategemea kua na mahusiano ya kudumu.Epuka mwanamke mvivu anayeshinda anaangalia TV na kuchati.Mwanamke anatakiwa awe na vijimiradi au vyanzo vya hela.Kumbuka kuna kifo na hatujui atakaetangulia.Je mwanaume ukatangulia ni nani atawalea hao watoto?.Japo kuna mila zingine zinadai mwanamke pambo la nyumba,lakini kwa sasa zimepitwa na wakati.Mwanaume epuka mwanamke goal keeper.
Mkuu unajua wanaume wengi hua hawapendi wake zao wafanye kazi sababu wanakua na mawazo mengi au kwa wanayo yaona maofisini, mimi binafsi mume wangu hataki nifanye kazi wakati alikunikuta nafanya kazi,nikamwambia tuna watoto kuna leo nakesho,sipendi nilie mumewangu umeniachia watoto ntawaleaje ila nataka nilie sitompata mume kama wewe
ikiwa utatangulia wewe na nikitangulia mimi basi uitakua nimekusaidia japo kidogo kwenye maisha japo kusomesha watoto
lakini kuna siku anaamka kwani lazima uende kazini? hawajua kama una familia sasa haya mambo mkuu ni kila mtu anavyo lichukulia kwenye mawazo yake lakini mimi nakubaliana na wewe kua maisha nikusaidiana na kama mke hana uwezo wakufanya hata biashara basi hata akilea watoto pia nayo sio kazi ndogo..
 
Hahahahaha, sasa mbona kama kuna tofauti ya umaskini. Nadhani umaskini mbaya ni ule wa kukosa akili ya ziada na kuwa mbinafsi maishani ila kama una akili ya kujiongeza hata ukiwa na umaskini wa hela unazipata tu anytime maana uwezo wa kuzitafuta unao!
 
Mkuu unajua wanaume wengi hua hawapendi wake zao wafanye kazi sababu wanakua na mawazo mengi au kwa wanayo yaona maofisini, mimi binafsi mume wangu hataki nifanye kazi wakati alikunikuta nafanya kazi,nikamwambia tuna watoto kuna leo nakesho,sipendi nilie mumewangu umeniachia watoto ntawaleaje ila nataka nilie sitompata mume kama wewe
ikiwa utatangulia wewe na nikitangulia mimi basi uitakua nimekusaidia japo kidogo kwenye maisha japo kusomesha watoto
lakini kuna siku anaamka kwani lazima uende kazini? hawajua kama una familia sasa haya mambo mkuu ni kila mtu anavyo lichukulia kwenye mawazo yake lakini mimi nakubaliana na wewe kua maisha nikusaidiana na kama mke hana uwezo wakufanya hata biashara basi hata akilea watoto pia nayo sio kazi ndogo..
Mmeo ana wivu wa kugongewa, hii inategemea lakini kama wewe sio mtu wa ku entertain wapuuzi na kucheka cheka nao sijui chattings wivu hauwezi kuwa kero ila kama unat tabia za kijinga ni ngumu kuwa na amani nae!
 
Tunalijua hilo ndio mana na sisi wanawake tulio wengi kwa miaka ya sasa hatutaki kuwa magolikipa kwa sababu baadhi ya wanaume wakioa mwanamke asiyejishughulisha basi huyo mwanamke ajiandae kwa manyanyaso.
 
Back
Top Bottom