jichanganye nkuoneshe 😂😂😂😂😂🚬 Unajari sana ...
Usije badirika tu
😋😋😋😋😋 Unioneshe kinini....jichanganye nkuoneshe 😂😂😂
basi basi😂😂🖐🏾🖐🏾🏃🏾♀️😋😋😋😋😋 Unioneshe kinini....
Tufanye ndo nishajichanganya sasa haya nioneshe 😁😁😁🚬
Hapana nataka unioneshe 😁😁🚬basi basi😂😂🖐🏾🖐🏾🏃🏾♀️
Umalajah umalajah tu mxiuuu 😂😂😂Hapana nataka unioneshe 😁😁🚬
Plzi plz
Nioneshe ntakusumbua mno aiseeeeUmalajah umalajah tu mxiuuu 😂😂😂
Sitaki kusumbuliwa mim 😂😂😂Nioneshe ntakusumbua mno aiseeee
😂😂😂😂
Utakuwa ni mwanaume wa Dar mnayekula supu ya utumbo wa kuku, miguu ya kuku na kichwa cha kuku.Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako!
Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa.
Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu na kuchekwa.
Wewe ukichapiwa tafuta kwanza tafuta utulivu, ikiwezekana nenda mbali kwanza upate mazingira tulivu ya kuweza kutafakari. Kisha tafakari sababu zilizopelekea au zinazoweza kupelekea kuchapiwa ni zipi? Halafu chukua hatua za kuzishughulikia sababu hizo au hata samehe kama una kifua. Ikiwezekana kubaliana na Hali.
Itakuwaje siri ikiwa mchapaji yupo hai na huwa anapishana mtaani na aliyenchapia?kuchapiwa ni Siri Yako!
Kidogo tuu 😂😂😂Sitaki kusumbuliwa mim 😂😂😂
ata kdogo sitaki mmKidogo tuu 😂😂😂
Unapata dhambi ujueata kdogo sitaki mm
mimi uyo kabisaUnapata dhambi ujue
Ndio maana unatoa ahadi hewa msmimi uyo kabisa