Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako!
Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa.
Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu na kuchekwa.
Wewe ukichapiwa tafuta kwanza tafuta utulivu, ikiwezekana nenda mbali kwanza upate mazingira tulivu ya kuweza kutafakari. Kisha tafakari sababu zilizopelekea au zinazoweza kupelekea kuchapiwa ni zipi? Halafu chukua hatua za kuzishughulikia sababu hizo au hata samehe kama una kifua. Ikiwezekana kubaliana na Hali.