Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,868
- 172,578
Oooh kutesa kwa zamu, hapo ni kama ushaachwa yani umebaki mwenyewe kwenye hayo mahusiano... Una date mwenyewe tuMahusiano yetu yanamuda mrefu kidogo, maisha yetu ya mahusiano yamekuwa na misukosuko sana, mwanzoni shida ilikuwa kwangu...Nilikuwa Kitomb* nilieshindikana, emeshawahi nifumania zaid ya mara nne + kupigana kwa ajili yangu. (Sizungumzi hivyo kujisifia, sio tabia njema katika jamii)
Baada ya kuona nakoelekea nitazikwa na kg2, nikaamua kubadirika na kuwa mwanaume bora katika namna yoyote ili kumfuta machozi.
Sasa hivi yeye ndio amekuwa chakaramu, kila unavyojaribu kumuelekeza haelewi. Nikisema nirudi nilikotoka nimaisha mabaya sana. Siwez eleza....hizo mambo najijua wala sihitaji complement