Mwanaume bila pesa kupata mwanamke ni kazi

Mwanaume bila pesa kupata mwanamke ni kazi

Nnavoamini kila nati na boliti yake.....huwez kosa mtu wa type yako....na sio madem wote wako insta au wanaipenda instagram...sensa ya 2012 ilionyesha uwiano wa 1:9 yani mwanaume mmoja kwa wanawake tisa kwa ratio hyo huwez kosa demu mnayeendana...
 
mawazo yako hata wa bure bila mia wako tena wazuri ajabu. Sijui hizi akili mnazitoa wapi vijana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom