Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua mwenyewe

Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua mwenyewe

Naked truth...

Mwanaume atatulia kama ataamua mwenyewe kutulia...

Ndio maana sipendi kuichosha nafsi yangu na kukuru kakara mpaka za kuharibu maumbile eti kumvutia mume asitoke.
Patience wewe una mambo kama kipanga,yaani hutaki kuharibu maumbile wakati huo ni mtaji umeukalia.
 
Uzuri na urembo wako, pamba na mkorogo, makalio na mahips ulivyonavyo kamwe havitamfanya mwanaume uliye naye awe wako peke yako.
Unajidanganya.

Mwanaume hatosheki hata umpe kila Tundu bado tu atatoka. Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua MWENYEWE kutulia.

MUOMBE MUNGU AMPE MUME WAKO KUTULIA, WANAWAKE WANAOPITA MBELE YAKE AWAONE KAMA SCORPION WA BUGURUNI.
100% uko sahihi
 
na ndo maana hatusubiri mpk muamue kutulia.... na sie tunafanya yetu mkishtuka ngoma droo na presha zinawapanda
Yaani unaenda kuitoa sadaka kisa mme wako kicheche?,halafu mkienda mnaliwa mpaka tigo,eti unamkomoa mmeo,daah unaharibiwa maumbile we unaona fahari eti ooh aah oooh baby nipe yoote aiii aah auuh aaaaah.
 
Uzuri na urembo wako, pamba na mkorogo, makalio na mahips ulivyonavyo kamwe havitamfanya mwanaume uliye naye awe wako peke yako.
Unajidanganya.

Mwanaume hatosheki hata umpe kila Tundu bado tu atatoka. Mwanaume atatulia iwapo tu ataamua MWENYEWE kutulia.

MUOMBE MUNGU AMPE MUME WAKO KUTULIA, WANAWAKE WANAOPITA MBELE YAKE AWAONE KAMA SCORPION WA BUGURUNI.

Huu ndio ukweli, ni uamuzi wa MTU binafsi ndio utakaomtuliza
 
Na muamue basi kutulia kwa jina la Yesu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom