Mwanaume asie na gari wala nyumba

Top-50-Funniest-Memes-Collection-funniest.jpg
 
fanya yako tu ndugu yangu,,ukifikiria maisha ya watu wengine utapoteza muda wako bure,,,kama wewe unavyo shukuru mungu,usitake kujua flani anakula nini kuna wengine wanatafuta hata buku kwa udi na uvumba,,
 
mwanaume upo mjini miaka 40 elimu ya chuo kikuu . huna mke/au unae ila ,huna gari huna nyumba unajisikiaje?
hahaha, namshukuru Mungu hivyo vyote ninavyo, lakini sio kwa uwezo wangu, ni kwa neema ya Mungu tu. ndugu yangu, usimdharau mtu hapa duniani, kuna watu wana majumba hata kumi na magari ya kutosha na ya garama, lakini hawawezi kuyatumia...kuna jamaa namfahamu ni tajiri sana, alikuwa na kuburi kama wewe, alipata ajali ni mtu wa kulala tu. nyumba kauza karibia anamaliza zote ili akatibiwe mara india, mara ulaya na watoto amezaa wengi wanasubiria afe lini waanze kugombania. unaweza kuwa na gari usiweze hata kushika usukani, unaweza kuwa na nyumba usiweze hata kulala ndani yake kwani utakuwa unalala hospitalini muda wote tena peke yako ICU...wakati asiye na kitu analala na mke wake home kwenye nyumba ya kupanga ana furaha zote pamoja na kwamba anapanda daladala. hivyo don't define life kwenye vitu kwasababu kuna watu wana vitu lakini hawana furaha ya maisha wengine hadi wanajiua....wakati mamangu kule kijijini ukimwambia kuna tajiri mmoja mkubwa sana amejiua anakushangaaa kwamba alikuwa na shida gani kwani kama nyumba anzo, kama hotel anazo, kama magari anayo ana kila kitu lakini ndio hivyo hana furaha wala amani. definition ya life sio ya kukurupuka. tema mate chini. na si ajabu ndio mara yako ya kwanza leo kununua gari, wakati wenzio hayo magari tumeendesha miaka mingi sana na hatudharau wasio nacho.
 
Tuache dharau, wapo watu ukiambiwa uishi maisha yao japo kwa siku moja tu hutaweza. Tukubali waliofanikiwa kimaisha sio ndio wanaakili sana na wenye maisha magumu ni wajinga. Kama umepata shukuru mungu na watazame wenye shida kwa jicho la huruma.
 
Nyumba za kupanga zitakosa wateja broh tuache tuendelee na maisha yetu
 
Back
Top Bottom