Mwanaume anayejua kupenda

Mwanaume anayejua kupenda

^^
Kama kumbukumbu yangu haijapotea,,niliona post yako love connect.
...
Binti wanaume wapo wanaojua kupenda,
Zidi kuwa mtu wa utaratibu,
Hitaji la mapenzi lina nguvu kuliko kifo lakini halitaki haraka.
...
Mungu hana chuki nawe,,mshirikishe
^^
 
you will get one i believe you deserve one!just keep on praying ,if there is thing you need make some reforms ,make them and wait for your wish to be material!,maisha yana maana zaidi when we are of positive attitude!alll the bes!
 
keep on praying as long as unaimani thabit utampata, nami naitaji mwanamke mwenye sifs sitahiki, je weye una sifa za wife material? if YES, niPM
 
Nipo tayari kukupenda coz i was made to luv yuh
unataka kitu gani tena mmoja huyu hapa ila ungeliweka specification kidogo kufanya hivyo una narrow searching yako na itakusaidia wakati wa ku evaluate, sijui utatumia tools ipi ku evaluate maana ilivyo sasa hadi kenge watakuwemo, usisahau msafara wa mamba? ___________________ wamo
 
kenge nimemaanisha vitoto na waume za watu, au wanaruhusiwa
 
orodhesha mali zako unazomiliki eg gari au magari,nyumba na account yako inasoma bei gani-uki hit hvyo vigezo vyangu nakupenda milele hadi mali ziishe
 
Dah umri umeniangusha..ila me natafuta mwanamke doctor..I mean mwenye degree ya udaktari
 
.Unapotaka kupendwa ni lazima uwe na tabia na vigezo vya kumfanya mtu avute hisia za kukupenda.Usitegemee kupendwa kama bangi ambayo watu huipenda japo inawadhuru.
 
Back
Top Bottom