Mmh.. twenty six, age inaenda nahisi nazeeka.
mbona nime ku PM hujanijibu kaMA UPO SERIOUS KWELI??
Mmh.. twenty six, age inaenda nahisi nazeeka.
Dah umri umeniangusha..ila me natafuta mwanamke doctor..I mean mwenye degree ya udaktari
i wish nipate gal anaenipenda na aweke promise atanivumilia bila hela hadi tuyajenge pamoja ila ntampenda sana. Upo tayari dear?I' wish nipate man atakae nipenda na promise nitampenda sana.