Binafsi kuitana majina yenu halisi huwa naona it is more real
kuliko kuitana honey na darling..
Mbona nje ndio wanavyoitwa wababa mpaka wanasahau kulipa ada za watoto.
mkwe hapa mna diskasheni gani?Sasa bibie mbona umemjibia shansarie nje ya kabisa ya point yake kuwa mianaume ndo ina matatizo. Huyu shansarie huyu kwanini anaanzisha mada afu anasepa anakuachia mpendwa umjibie. Ni wifi yako au? LOL (Just kidding bana)
Tuwaite wadau Kaizer, cacico, Paloma, Mtambuzi, amu, Fixed Point, snowhite, gfsonwin waje nao wachangie kiduchu
kama huamini katk hilo ni bora ukae kimya maana huna cha kuchangia wapo yanaowakuta na inakera sana hii pia huchangia sana watu kutoka nje ya ndoa
I love you honey...
Hebu ka zis wei, hii baridi waionaje lakini??
Hapa tumekuja kufundishana kanuni ya imani??? Jibu swali mamaaa...... wengi huanzia na wawili.... Unavyosema wengi unamaanisha wangapi? Japo kwa percentage....
Hii ya kuitana mama naniliu hivi hakuna wanaoitana baba naniliu??
Mi huwa nakasirikaga sana kwa watu wanaoamini kuwa mapenzi ya utineja yanaweza kuwa with constant velocity na acceleration mpaka kufikia uzeeni....
Hebu Kaizer njoo toa neno la chama hapa!! Kuna mtu anataka aendelee kuitwa "baby" wakati tayari anajitoto liko standadi seven... Mwite na King'asti kabla hajapiga msuba.
Ishu ilianzia hapaaaaaaaaaa
Ikajibiwa hiviiiii
Swali likaja hiviiii
Likajibiwa kwa kiburi namna hii...
Nami nikaona nichangie hiviiii...
Aliyetakiwa kujibu akajitokeza huyu akajibu hiviiii........ Ila majibu haya yanaonyesha tatizo liko pande zote kwa wanaume na wanawake. Ok???
Sasa bibie mbona umemjibia shansarie nje ya kabisa ya point yake kuwa mianaume ndo ina matatizo. Huyu shansarie huyu kwanini anaanzisha mada afu anasepa anakuachia mpendwa umjibie. Ni wifi yako au? LOL (Just kidding bana)
Tuwaite wadau Kaizer, cacico, Paloma, Mtambuzi, amu, Fixed Point, snowhite, gfsonwin waje nao wachangie kiduchu
halafu aisee kuna watu wana formula ngumu sana sana za mapenzi.Sio ishu ya kuamini, ni ishu ya facts
Niamini imekuwa dini hii?
Na unadhani inawakumba watu wote?
ha haaa, rafiki ulivyojitetea!​Sema baadhi ya Wanaume.
I miss you sana, nataka kurina asali
Mtu anataka aitwe baby huku wanarukia daladala la gongo la mboto
Halafu kwa lazima hata kama mwenza hataki, fake fake fake
amwache mtu amwite anavyojisikia
Afu anataka tumwamini kama dini, huyu bado kinda wa mapenzi, akikumbana na verosa ndio atatia akili
halafu aisee kuna watu wana formula ngumu sana sana za mapenzi.
yaani mtu mpaka upetiwe ndipo uone unapendwa?? mpaka ufanyiwe fakelization ndipi ujue na wewe una exist??
Yumkini hawa ndo wale walipomwona obama ana mbusu na kumshika kiuno michelle walikwenda kuwaburuza waume zao waanze kuwafanyia hivyo.
asante ni maoni yako ruksa kusema,ila nimekomaa sawia kmunadhani ni kinda ni vizuri ukanielewesha kuliko kunionyesha attitude yako
sijaolewa nia yangu nataka nijue humo ndani kuna nn mana wanandoa wanalalama sana kuhusu hayo so gfsonwin ni vizuri ukatoa busara zako hapa na si vinginevyo,nipate kuwa imara nikiingia humo
sijaolewa nia yangu nataka nijue humo ndani kuna nn mana wanandoa wanalalama sana kuhusu hayo so gfsonwin ni vizuri ukatoa busara zako hapa na si vinginevyo,nipate kuwa imara nikiingia humo
Kwa hiyo wakilala wengine na wewe unashawishika kulalama?
Labda niulize, unahitaji uimara wa aina gani kuingia kwenye ndoa?
sasa kwann kuumiza ubongo wako kwa jambo ambalo huliish??
acha kuish maisha ya maigizo na maisha ya mfanano.................tena usipende sana kusikiliza shuhuda za watu juu ya maisha yao utajikuta unapanic na maisha yanakushnda.
kama unapenda mapenzi ya kiobama talk tu ur spouse juu ha hilo mjue sasa mtaish vipi, kama huna hakika unapenda nini basi let atters take their natural way, thats all.
nafkiri nataka kubeba silaha za maangamizi ili awe imara.
asijue kwamba maisha hayako hivyo.
manake ukijipanga sana ndivyo maisha yatakavyojipanga kukudefeat
ndo uniambie sasa natakiwa niweje wanantisha ati hadi naogopa kuingia humo.