Anataka kusaidia kupambana na mTukufuWanakuja mkuu.
Lakn mbona jina lako lina fanana na ACACIA?
picha yko pliznaitwa Aicca icca, mimi ni msichana wa miaka 24 soon 25,natafuta mwanaume badae awe mchumba na mme,nature ya kazi inanifanya niwe mbali kidogo na kuendana na ulimwengu unavoenda,
mimi ni mkristo nahitaji mwanaume mkristo umri kuanzia 27-31.mwenye upendo wa kweli mwenye hofu ya Mungu pia.
mind you:sio kila mwanamke anaetoa uzi apa anakua ajielewi wengne tupo seriuos sana,kwa alie serious tu karibu pm.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao namba si yako bwana wao wanakerwa niniHiyo line ipo kwenye wireless router yangu ambapo ukipiga me sitajua labda tuma text. Lakini line iliopo kwenye cm yangu siwezi kuiweka hadharani.
Sent using Jamii Forums mobile app
PM maana yake ni Posta Mpya, kwani Posta Mpya hupajui?
mrejesho vipi?naitwa Aicca icca, mimi ni msichana wa miaka 24 soon 25,natafuta mwanaume badae awe mchumba na mme,nature ya kazi inanifanya niwe mbali kidogo na kuendana na ulimwengu unavoenda,
mimi ni mkristo nahitaji mwanaume mkristo umri kuanzia 27-31.mwenye upendo wa kweli mwenye hofu ya Mungu pia.
mind you:sio kila mwanamke anaetoa uzi apa anakua ajielewi wengne tupo seriuos sana,kwa alie serious tu karibu pm.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
naitwa Aicca icca, mimi ni msichana wa miaka 24 soon 25,natafuta mwanaume badae awe mchumba na mme,nature ya kazi inanifanya niwe mbali kidogo na kuendana na ulimwengu unavoenda,