ni rahisi sana kumbadilisha mtu anaejua kupetipeti awe mjuzi kitandani, kuliko kumbadilisha mjuzi kitandani awe anajua kupetipeti... Ni hivi, inakua ngumu mwanamke wa kiafrika kufunguka na kukwambia ukweli kwamba hum'bonyezi vizuri, sababu anatarajia ujue kila kitu, solution yake inakua ni kuchepuka tu.
na huyu mwanaume anaejua kubonyeza vizuri anajijua yeye ni bidhaa adimu, kwa hio hana haja ya kukupetipeti coz hata ukiamua kusepa wenzako watakuja tu..
ukiona mwanamke analalamika kuwa bf wake hampendi ujue bf anam'bonyeza vizuri ila upendo hana.
Solution kwa wewe mwanamke ni simple.. YOU CAN EITHER LEAVE, OR LIVE WITH IT.
tatizo lenu mnapenda kukompliket mambo, ndo nature yenu, utamganda mwanaume weeee ukitarajia aje kubadilika lakini waaaapi.