bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,668
Umeona amenifanya nikarudi kufikiria mara mbili..!usiweke kabila bwana
Umeona amenifanya nikarudi kufikiria mara mbili..!usiweke kabila bwana
WhyUmeona amenifanya nikarudi kufikiria mara mbili..!
Naogopa mamamkwe atakontrol ndoa yangu kwa remote kutokea kibosho..!
ukwapi yupo mtu serious anaitaji kuoaNa mm jaman natafuta MTU Wa kunioa
Ha haha ngumi weNaogopa mamamkwe atakontrol ndoa yangu kwa remote kutokea kibosho..!
Huuhuhuh..! Eti ngumi...! Tunawajua vizuri...Ha haha ngumi we
Haya banaHuuhuhuh..! Eti ngumi...! Tunawajua vizuri...
Pole mtani hapo lazima tuseme tuuh..!Haya bana
Sawa mtaniPole mtani hapo lazima tuseme tuuh..!
Humu wanawake wanaotafuta waume wengi wao ni wachagga,, chanzo nini?Na mm jaman nahitaji MTU Wa kunioa
Kitandani overSijaelewa hapo kwenye "anajishughulisha"
Monie wangu, hujaweka sifa zako eg Umbo, sura, hobbies, mrefu /mfupi.Am 28
looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious
Nimeajiriwa kampuni binafsi,
sina mtoto,
mimi ni mkristo mlutheri
kabila langu mchaga,
mwanaume atakayekuja
awe 33+
mkristo
anajishughulisha
awe so serious na hili swala sio utani
if u think ukoserious just nipm.
Haaa haaa inaonekana wachaga wahanga sana wa haya mambo
Huna sifa mkuuMimi niko tayr ila ninamiaka 29...Nina Elimu Ya degree bado sijaajiliwa.. Naomba kuwasilisha
Wewe ungekuwa sio mchagga nisingekuacha...Sawa mtani
Me bado nakuviziaWewe ungekuwa sio mchagga nisingekuacha...
Badili kabila. Jiite miss sukuma.Me bado nakuvizia