Mwanaume aliye tayari kuanza maisha ya ndoa aje

Am 28
looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious
Nimeajiriwa kampuni binafsi,
sina mtoto,
mimi ni mkristo mlutheri
kabila langu mchaga,

mwanaume atakayekuja
awe 33+
mkristo
anajishughulisha
awe so serious na hili swala sio utani

if u think ukoserious just nipm.
Tupia na kapicha sasa wewe.
 
Nmekidhi vigezo vyote ila cheti cha kuzaliwa cha mwakyembe ndo shida jaman,ngoja nkuchek pm huenda ukanielewa.
 
Am 28
looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious
Nimeajiriwa kampuni binafsi,
sina mtoto,
mimi ni mkristo mlutheri
kabila langu mchaga,

mwanaume atakayekuja
awe 33+
mkristo
anajishughulisha
awe so serious na hili swala sio utani

if u think ukoserious just nipm.
Shimboni shishe?
 
Nimependa neno lako, awe anajishughulisha!!!!.........kuna maneno siyapendi kusikia kama vile awe na kazi, awe ameajiliwa, hebu naomba na mm niku PM kwa kukusalimia tu maana nina below 30yrs. Naomba pokea PM yangu ya salaam
 
Back
Top Bottom