mwanaume akiwa ametoka kudo na nje ya mahisuano utamjuaje?

Kama unaweza wakati unamuhisi mnusishe ugoro na hii sio kwa mwanume tuu, hata kwa demu akinusa tuu ugoro yale masalia yanatoka chini wakati akipiga chafya kwa wingi
 
hhahahahahah mnapoteza wakati tu mwamini mwenza wako hata kama ukimkuta kiunoni mwa mwingine we mwamini tu kuwa hatammaliza
 
dah, hii sikuijua aisee! sasa itabidi tuwe na kakontena cha kuhifadhia huo ugoro...hahahahah!!!
Kama unaweza wakati unamuhisi mnusishe ugoro na hii sio kwa mwanume tuu, hata kwa demu akinusa tuu ugoro yale masalia yanatoka chini wakati akipiga chafya kwa wingi
 
Kama unaweza wakati unamuhisi mnusishe ugoro na hii sio kwa mwanume tuu, hata kwa demu akinusa tuu ugoro yale masalia yanatoka chini wakati akipiga chafya kwa wingi

ha ha ha ha! Nmejikuta nmecheka kwa saut mpaka wa2 wakaniulza vp?
 
kwanaini muishi kwa wasiwasi?
akiliwa au akila hamalizi ikaisha
wako akiwa kwako akiwa nje sio wako.
anyway ukiona mumeo anakujia na vijizawadi vya kushtukiza isivo kawaida yake na akiwa mpole siku hiyo ujue tayati ushaibiwa.
ila why kuwaza yote hii????? mtaishi life fupi sana.
 
Sasa hata ukijua SI KESHAFAIDI HUKO!!!!!! Isitoshe evidence haijitoshelezi ku kumcomvic the accused! Dawa yake moja tu ! Ni kutumia KATIBA ya mabibi! Akienda outside kitu chasinyaaaaa kama cha mtoto! Akirudi rijali kweli kweli!

PREVENTION IS BETTER THAN CURE!!!!!!!!!!

Wewe mtoto mbondei nini?
 
tuzidi kupeana uzoefu jamani maana haya mambo siku hizi yameshika hatamu!
 
kwa sisi tunao walidhisha mademu mpaka 3 ukazaaji unaongeza ukimaliza wa kwanza unapo enda kwa wapili unadable dozi na kwa watatu una thrice dozi full ugwadu :becky::becky:
Uuuuuuuuwi! hebu waambie bhana utakata midemu yote hiyo na mamii pia mkong'oto wa kufa mtu na usiku ukiamka mpingo umenyooka kama sime ya mmasai na haikati shingo hadi asubuhi. Wewe unataka kumdhibiti atakuvunja kiuno uombe talaka bure ndio mana dini zingine zikasema waolewe wanne: watu oooh mambo gani hayooo mambo gani? mwanaume kaumbiwa mziki wa nguvu sema baadhi wanakatika mizuka kutokana na maisha ya kifreemason na misosi yao mibovu.
 
Ndugu tafadhali tujuze hii inawezekana vipi?wengine technolojia imetutupa mkono, nahisi kuna mjinga mmoja kanifanyia hivi, ni bwana mdogo na ninaamsupport kimaisha cha ajabu ishu zangu nyingi anazipeleka kwa wakubwa sijui anazipata wapi, na mara nyingine anakuwa na ghadhabu zisizokuwa na msingi juu yangu, hebu nisaidie.
 
Ni vigumu sana kujua kama huna ushahidi.

kuna vitu kama harufu ya perfume, alama za lipstick kwenye shati,
hickies, etc hata na hivyo hivyo vitu ni havikupi uhakika kabisa kama
ametoka kufanya mampenzi au la..

Kama unawasi wasi sana anza kumtrack kwa kutumia GPS.
iliujue yuko wapi kila saa.
au unaweza ku tag simu yake ukasikiliza "maongezi yake yote " na kusoma
txt zake zote bila ya yeye kujua na bila hata wewe kugusa simu yake.

Hiyo ni kama humwamini mpenzio na unataka kupata jibu la uhakika kabisa bila ku guess kitu.
mmmmh . u gotta gud idea. but tel me then how to du this but it will be easy if u ll pm me buddy. pls du dat 4 me. hv a nc tm
 
Uuuuuuuuwi! hebu waambie bhana utakata midemu yote hiyo na mamii pia mkong'oto wa kufa mtu na usiku ukiamka mpingo umenyooka kama sime ya mmasai na haikati shingo hadi asubuhi. Wewe unataka kumdhibiti atakuvunja kiuno uombe talaka bure ndio mana dini zingine zikasema waolewe wanne: watu oooh mambo gani hayooo mambo gani? mwanaume kaumbiwa mziki wa nguvu sema baadhi wanakatika mizuka kutokana na maisha ya kifreemason na misosi yao mibovu.

watoto wa mama hawa wanakula mno vitu hivi vya kisasa ndo maana round moja hoi :becky::becky:
 
Back
Top Bottom