kelvin john
Member
- Oct 15, 2014
- 25
- 14
Yaaa unaloseama ni kweli maana atakuwaa kakunyima haki zako nyingi
Aisee!!! MILA zinaruhusu aliyeabort hata mara 6 kuolewa, patamu hapo!!
Watu huwa hawapangi kuzaa nje ya ndoa
watu huwa hawapangi kuzalisha nje ya ndoa
watu huwa hawapangi kutoku oa waliowazalisha nje ya ndoa
watu huwa hawapangi kutoku olewa na walio zaa nao nje ya ndoa...
kinachotokea kinaitwa 'shit happens' .......
Tatizo siyo lao kumbe! Tatizo ni huyo mwanaume muongo na tapeli!
Ni katika umri fulani mwanamke anaweza kutambua na kupambanua mwanaume tapeli na mkweli!
Ndiyo sababu wengi wamezaa miaka 16 mpk 26! Ushasikia 35 kazalishwa aaf kaachwa! Zaidi yeye ndiye huacha akiona mwanaume ni mpuuzi puuzi!
Unajua kabisa hutaweza muoa...tuseme hukujua basi...ila unajua kabisa ukifanya ngono bila mpira kuna magonjwa na mimba,yanini usivae kondomu?....for godsakes huna sababu on earth kwanini hukutumia condom...
Nipe sababu....c'mon,convince me
Kama asahau ndoa kwanini unaingia kwny uhusiano naye?
Wadada kuweni makini na mahusiano,mwanaume akikuzalisha na asikuoe hupunguza sana nafasi yako ya kuolewa hasa na mwanaume wa ndoto zako.
Mila nyingi zinakataza vijana kuoa mwanamke ambaye amezaa na mwanaume mwingine.Kuweni makini na future zenu. Hisia za mioyo yenu zisiwapotoshe.
dada zangu acheni kulalamika,hamjawahi kusikia BREACH OF PROMISE TO MARRY,kama aliahidi kukuoa na hajakuoa bila sababu yoyote ya msingi mbona sheria ya ndoa inakupa hiyo haki ya kumfungulia mashtaka.
kuna kesi inaitwa LAROK VS OBWOGA, humo jamaa amemdanganya binti wa watu kua atamuoa,akamgegeda weeeeh,akapata mimba afu jamaa akasepa zake.binti alifungua kesi na akafanikiwa koz jamaa alimuaribia maisha as she was a college student and enzi hizo hata vyuon ukipata mimba unafukuzwa.
CAUTION;hata mwanamme alieachwa solemba na mchumba nae anaeza kufungua mashtaka so inaapply kotekote.
ila tu kwaajili ya kutoijua sheria na kuhisi sheria ni ajili ya wanaosoma sheria tu basi haki zinapotea hivhiv......
Kumbe kuna sheria, sijui nikamstaki dada mmoja hakika hio kesi nitashinda