Mwanaume akikuzalisha asikuoe amekuharibia maisha

Mwanaume akikuzalisha asikuoe amekuharibia maisha

Wadada kuweni makini na mahusiano. Mwanaume akikuzalisha na asikuoe hupunguza sana nafasi yako ya kuolewa hasa na mwanaume wa ndoto zako. Mila nyingi zinakataza vijana kuoa mwanamke ambaye amekwisha zalishwa. Kuweni makini na future zenu. Hisia za mioyo yenu zisiwapotoshe...
Utazaa vipi na mwanaume ambae c wa ndoto yako, pia ni mara chache katika mahusiano ya kawaida (hamjaoana) watu wakanegotiate kuzaa, but in most cases msichana ndio mwenye maamuzi ya kupata mimba au laah.
 
Kukimbia zinaa ni kuoa au kuolewa katika umri mdogo. Genye ina nguvuu. Hata mtu abane vipi, by 25yrs atakuwa amesha achia tuu. So we r discussing most practical solutions...




umenichekesha sanaaa. mie nlijitahidi weee ilipofika 24.5 looo nkajikuta .......
 
Wadada kuweni makini na mahusiano. Mwanaume akikuzalisha na asikuoe hupunguza sana nafasi yako ya kuolewa hasa na mwanaume wa ndoto zako. Mila nyingi zinakataza vijana kuoa mwanamke ambaye amekwisha zalishwa. Kuweni makini na future zenu. Hisia za mioyo yenu zisiwapotoshe...
KUMBE HAWATUMII CONDOM!!!!:shock::shock::shock:
 
Unajua kabisa hutaweza muoa...tuseme hukujua basi...ila unajua kabisa ukifanya ngono bila mpira kuna magonjwa na mimba,yanini usivae kondomu?....for godsakes huna sababu on earth kwanini hukutumia condom...

Nipe sababu....c'mon,convince me

kama unafwata kalenda.....na ukajua kabisa uko safe na ikatokea unafanyaje....?
 
Mimi ukiwa ushazaa na sio mimi niliekuzalisha sahau ndoa hapo
 
ujue wengine tumetoka kwenye hizo familia lakini mama yetu hakuwa malaya au mchepukaje aliyekubuhu......kwa hiyo unatoa maoni kumbuka kuna watu tumetoka kwenye familia ambazo ......mama zetu hawajaolewa na baba aliyemzalisha........ingawa walikuja kuolewa na wanaume wengine na mpaka leo bado wapo kwenye ndoa....na wajukuu wamepata........

mmmmm msumari umepigwa sehemu ukachoma pole mkuu huyo aliyesema hayo maneno hana ushahidi wa uhakika amesema kishabiki zaidi
 
Kweli mwanamke aliyezaa huwa na nafasi ndogo ya kuolewa maana wanaume hatutaki majukumu baada ya kuoa, sasa tunahitaji pure.
 
Vipi kwa wanaozalishwa halafu wanakataa kuolewa na wanaume walio wazalisha, unawashauri nini
 
Tatizo wanaume wengine wakiwazalisha wanawaterekeza na watoto Mie wanawake niliozaa nao niliisha chukua watoto na mama zao walishaolewa hivo sina deni
 
wasichana wengi wanaozalishwa huwa wanadanganywa kwamba kwa kukubali kwao wataolewa na kumbe sio.

Tatizo siyo lao kumbe! Tatizo ni huyo mwanaume muongo na tapeli!
Ni katika umri fulani mwanamke anaweza kutambua na kupambanua mwanaume tapeli na mkweli!
Ndiyo sababu wengi wamezaa miaka 16 mpk 26! Ushasikia 35 kazalishwa aaf kaachwa! Zaidi yeye ndiye huacha akiona mwanaume ni mpuuzi puuzi!
 
Wasichana muache kutegesha mimba ukitegemea utaolewa kisa umepata mimba
Maana wengine ndo zao hizo baadae mnakuja kujuta

Hawa ndo wajinga kuliko wote! Tena ukiwaonya hawasikii na kukuchukia! Lakini ni ktk ile foolish age!
 
Back
Top Bottom