Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 758
Wengi waliozalishwa na kushindwa kuolewa na baba mtoto/watoto wake huwa wanatabia mbaya sana( 'maraya' au wachepukaji waliokubuhu)
Watu huwa hawapangi kuzaa nje ya ndoa
watu huwa hawapangi kuzalisha nje ya ndoa
watu huwa hawapangi kutoku oa waliowazalisha nje ya ndoa
watu huwa hawapangi kutoku olewa na walio zaa nao nje ya ndoa...
kinachotokea kinaitwa 'shit happens' .......
Wengi waliozalishwa na kushindwa kuolewa na baba mtoto/watoto wake huwa wanatabia mbaya sana( 'maraya' au wachepukaji waliokubuhu)
Wadada kuweni makini na mahusiano. Mwanaume akikuzalisha na asikuoe hupunguza sana nafasi yako ya kuolewa hasa na mwanaume wa ndoto zako. Mila nyingi zinakataza vijana kuoa mwanamke ambaye amekwisha zalishwa. Kuweni makini na future zenu. Hisia za mioyo yenu zisiwapotoshe...
Wengi waliozalishwa na kushindwa kuolewa na baba mtoto/watoto wake huwa wanatabia mbaya sana( 'maraya' au wachepukaji waliokubuhu)
Lugha ya @kuzalishwa inavyoniudhi! Alibakwa? Hajitambui?
Watu huwa hawapangi kuzaa nje ya ndoa
watu huwa hawapangi kuzalisha nje ya ndoa
watu huwa hawapangi kutoku oa waliowazalisha nje ya ndoa
watu huwa hawapangi kutoku olewa na walio zaa nao nje ya ndoa...
kinachotokea kinaitwa 'shit happens' .......
Kuna mtu nimemuona mahali hisia zake zikakuhisi ni wewe, lol!Wasichana muache kutegesha mimba ukitegemea utaolewa kisa umepata mimba
Maana wengine ndo zao hizo baadae mnakuja kujuta
'shit happens' mwanaume wa ukweli ndiyo anajua haya........maisha hayatabiliki.....si kila unachopanga kinakuja kama kilivyo......mengine haujapanga lakini yanatokea.......unachotakiwa kufanya ni kukubali hali halisi na ku move on.........
condom hazipo?kwanini msitumie'shit happens' mwanaume wa ukweli ndiyo anajua haya........maisha hayatabiliki.....si kila unachopanga kinakuja kama kilivyo......mengine haujapanga lakini yanatokea.......unachotakiwa kufanya ni kukubali hali halisi na ku move on.........
Nina wasiwas na uwezo wako wakufikiri. ULISIKIA WAPI MALAYA ANAZAA??????? MALAYA anatoa ili biashara isidode. tabia mbaya unaitathimin kwen lipi??? kwa taarifa yako wanaume ndio washenzi wa adabu, kwanin uzae na mtu kisha umuache??? nahis nikiendelea hapa ban itanihusu.