nilimuacha na pesa zakee!!tena yuko kwenye peak pesa sio furaha ya moyo!MTALAKA HATONGOZWI?
AKIPATA HELA TENA HUTARUDI?
That's maturity swtsyes!good person alikua anantia jeuri sana ya kipesa kipindi naanza kazi!alikua anajua kuhandle my anger before hajaanza michepuko nimekula good time sana tuu!
Familia yake inanipenda sana tena sana!!
Ana wivu balaa mpk kivuli changu anakionea wivu!
I don't regret to have kids with him,or having rltn with him kwa kweli!
Binadamu hakuna mkamilifu kila mtu ana mabaya yake!
Sijutii kuolewa,sijutii kuachana pia!
Na sitamsema vibaya kwa watoto Ila kurudi kwake hapana!!!!
Watu wanadhani mahusiano ni "pesa" tu; no wonder wanakuwa watumwa wa pesa na wenye pesa zaonilimuacha na pesa zakee!!tena yuko kwenye peak pesa sio furaha ya moyo!
kama kula good time nimeshakula sana tu!
na wadada wengi pesa zinatuua mwanaume akijua hvyo basi atakunyanyasa maana huwezi kubali kuacha luxuries wakati anakunyanyapaa mi hapana kwa kweli
Baba yangu alinifunza kuheshimu utu kabla ya kitu kwanza!
haijalishi tutamalizana kiutu uzimaMpaka uje ungue ni too late
siwezi msema vibaya kwa wanangu maana ni baba yao!That's maturity swts
Watu wanadhani mahusiano ni "pesa" tu; no wonder wanakuwa watumwa wa pesa na wenye pesa zao
yes!good person alikua anantia jeuri sana ya kipesa kipindi naanza kazi!alikua anajua kuhandle my anger before hajaanza michepuko nimekula good time sana tuu!
Familia yake inanipenda sana tena sana!!
Ana wivu balaa mpk kivuli changu anakionea wivu!
I don't regret to have kids with him,or having rltn with him kwa kweli!
Binadamu hakuna mkamilifu kila mtu ana mabaya yake!
Sijutii kuolewa,sijutii kuachana pia!
Na sitamsema vibaya kwa watoto Ila kurudi kwake hapana!!!!
Yeah una hekima sana binamu. No need ya kumgombanisha na wanae,. Unless aje azingue mwenyewe kwa wanawe, na uzuri watoto si wanaonasiwezi msema vibaya kwa wanangu maana ni baba yao!
Ugomvi wetu hauhusu ndugu wala watoto Mimi sitaki maswali kwa wanangu baadae yasiyo na majibu that's why nimemuachia kila kitu!!
Ukipenda sana pesa lazima ufe na tai shingoni tuu!yani anaona bora ngumi kwenye Prado kuliko upendo kwenye nyumba ya udongo!mi hapana kwa kweli!!
Mungu asimame kati yetu siwezi kumchonganisha hata kidogo!!Yeah una hekima sana binamu. No need ya kumgombanisha na wanae,. Unless aje azingue mwenyewe kwa wanawe, na uzuri watoto si wanaona
Teh binaaa mwingine hilo prado anafanya kuliona tu limepack, au afanye kuvizia, alishike Kwa nje apige selfie, haruhusiwi kulipanda Teh. Hakuna kitu kizuri kama amani ya moyo
Hahaha hizi ndoa mweeeMungu asimame kati yetu siwezi kumchonganisha hata kidogo!!
Hahaaaa Prado waligusa tu na selfie wenzio na kulana wanalana humo michepuko
Kuna Dada mmoja siku moja anaenda kazini anamuambia mmewe ampe lift kamuambia hupandi humu nna haraka bidada akaondoka anafika mataa vingunguti analiona gari la mumewe na mbele kakaa mwanamke mwenzie!!
Sijampa mgongo Ila yy ndie alianza kubadilika Sana,nilipambana kimya kimya mnakaa four months hamukutani kimwili akirudi nikashirikisha wazee akiulizwa sababu za mabadiliko 'anajibu"basi tu nimemchoka nataka nitafute mwingine"hajanikosea wala nini!!Ok. Katika wakati mgumu umempa mgongo!!
Mbona naambiwa anakupenda sana. Utafurahi sana akifirisika kabisa
Mmmh jamani. ..Sijampa mgongo Ila yy ndie alianza kubadilika Sana,nilipambana kimya kimya mnakaa four months hamukutani kimwili akirudi nikashirikisha wazee akiulizwa sababu za mabadiliko 'anajibu"basi tu nimemchoka nataka nitafute mwingine"hajanikosea wala nini!!
Mambo yalikua magumu na mie mwanangu akaanza kuumwa ghafla sasa nkaja DAR kumtibia ndo nilijiroga hapo"siku narudi niko nakuta bimdogo ndani kajaa tele kama pishi la Mchele"
Nikalala kwa jirani asubuhi nkarudi kwetuuu kwenye nyumba ya urithi wa mama angu mzazi!
yes!!binamu if you were in my place!vaa viatu vyangu!Mmmh jamani. ..
geniveros said:Sijampa mgongo Ila yy ndie alianza kubadilika Sana,nilipambana kimya kimya mnakaa four months hamukutani kimwili akirudi nikashirikisha wazee akiulizwa sababu za mabadiliko 'anajibu"basi tu nimemchoka nataka nitafute mwingine"hajanikosea wala nini!!
Mambo yalikua magumu na mie mwanangu akaanza kuumwa ghafla sasa nkaja DAR kumtibia ndo nilijiroga hapo"siku narudi niko nakuta bimdogo ndani kajaa tele kama pishi la Mchele"
Nikalala kwa jirani asubuhi nkarudi kwetuuu kwenye nyumba ya urithi wa mama angu mzazi!
Binamu viatu vingine ni vikubwa sana kuvivaa. Mungu akusimamie na kukuteteayes!!binamu if you were in my place!vaa viatu vyangu!
ungefanyaje?!!
muongeaji mzuri sana mm Ila ugomvi siwezi haswa kugombea dyudyu hata kama ni halali kwangu
Halafu ndo maana tulisoma ili tutofautiane!!siwezi kugombana mie jamani!!
DuuuuuhHahaaa!vikubwa utajaza sponji
Hv vinabana na sikusema home km nimekuta mtu but wifi yangu ndo alisema kwao na kwetu!
Nilikua sitaki familia zijue!