Pamoja na kuwa siamini ushirikina lakini dunia inatisha sana, hii unaona ni kuwa watu wamekosa hope ya maisha, wako tayari kufanya chochote ili wa survive.Hahaha leo lawama zote kwa michepuko teh teh. Tulieni na wake zenu
Aah watu hata hatumwogopi Mungu, jipendekeze uliwePamoja na kuwa siamini ushirikina lakini dunia inatisha sana, hii unaona ni kuwa watu wamekosa hope ya maisha, wako tayari kufanya chochote ili wa survive.
Ukatili huomi nipo kwenye harakati za kujifunza kuua bila kutazama uson.coz this is tumachi wanatutendea
upo sana tu ndo unamaliza waume zetu huo!!Pamoja na kuwa siamini ushirikina lakini dunia inatisha sana, hii unaona ni kuwa watu wamekosa hope ya maisha, wako tayari kufanya chochote ili wa survive.
Aah watu hata hatumwogopi Mungu, jipendekeze uliwe
Sio tu waume za watu binamu, wewe sasa hivi mtongoze binti afu ulete utani. Unawekwa sawa tu, utatangaza ndoa bila kupenda. Waache waendelee kujichetua, wenzao wamejipanga teh, watakoma virangaupo sana tu ndo unamaliza waume zetu huo!!
maana mtu anaroga ili asurvive !
yaani watu hawaogopi wanalala makaburini kuroga waume wa wenzao
duuh poleni sana.upo sana tu ndo unamaliza waume zetu huo!!
maana mtu anaroga ili asurvive !
yaani watu hawaogopi wanalala makaburini kuroga waume wa wenzao
sana tu Ila Mara nyingi ndoa za kulazimisha binamu hata kama utaolewa ndo vinachuja tena unaanza kujutaSio tu waume za watu binamu, wewe sasa hivi mtongoze binti afu ulete utani. Unawekwa sawa tu, utatangaza ndoa bila kupenda. Waache waendelee kujichetua, wenzao wamejipanga teh
hawaturogi mkuu mahaba tuu ndo uchawiSio tu waume za watu binamu, wewe sasa hivi mtongoze binti afu ulete utani. Unawekwa sawa tu, utatangaza ndoa bila kupenda. Waache waendelee kujichetua, wenzao wamejipanga teh
wanaume watakimbiaIkifanyika stop and search za ARV's anaekutwa nazo awekwe ndani, nusu hawatarudi majumbani😡😡
Aah binamu, mwanamke mshirikina ni wa kumkimbia kabisa. Mtu kulala na mganga sijui makaburini haoni tabu. Yeye si anajua limbwata lina-expire, ana renew tu mbona. Itokee siku umeangukia kwa Mungu, ndo itakuwa salama yako. Hata by the time ndoa imeisha, anakuwa ashakuharibia maisha yako sanasana tu Ila Mara nyingi ndoa za kulazimisha binamu hata kama utaolewa ndo vinachuja tena unaanza kujuta
Maana limbwata nalo Lina mda wa kuisha na ukiolewa kwa ushirikina bas utakua mtumwa wa waganga mpk mwisho wa ndoa yako
Haha sikutegemea kucheka [emoji23] [emoji23]wanaume watakimbia
ukiwa mjamzito clinic unapimwa HIV we wanaume hapo na simu wanazima mpk majibu yatoke
Ukiwa vizuri anavyojisifu sasaa!!
Utafanyaje sasa ndo kifo mpk kiwatenganisha na wanawake tunafia watoto yani ukiwaza watoto unarudi bila kupendaHahahaa
Mwanaume wa hivyo inamtiririsha vibaya mno asilete ujinga hapa
Sema wanawake nao sometimes hawajitambui....jitu limekutelekeza miaka.......linarudi unalipokea yelewiiiiiii
Yaani ukiondoka usithubutu kurudi......kama shida kujua hali za wanao nitakupa namba zao za simu...au landline ya familia...
Nani anataka inzi....
Aah haya mahaba memahawaturogi mkuu mahaba tuu ndo uchawi
Ina maana nyie wanaune ninperfect humo kwenye ndoa?????Naona maandamano ya kupinga michepuko ila wakati mwingine wanaume tunalaumiwa bila makosa.
wengine wanachekupa wake zao wanasababisha.