Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Habari za Jumapili wanajamvi,
Naomba nishauri wanaume wenye tabia ya kuacha au kutelekeza wake zao nusunusu.
Takuta mwanaume anakufanyia visa vingi ndani hapo ndo kashaanza michepuko huko, mnakaa ndani miezi hakuna kukutana kimwili, nyumba ugomvi hauishi na inageuka uwanja wa mapambano kila siku.
Ukienda kumshtaki kwa watu wazima mana uvumilivu sasa umeshindikanika akiulizwa mkeo ana kosa gani'anajibu hajanifanya chochote simpendi tu sasa, mvumilivu, anawapenda ndugu zangu ananihudumia vizuri Ila mimi tu simpendi! s"ababu hana, kumbe hela zinampa kibri. Anakutimua kama mbwa kwake unakomaa huondoki mwisho analeta mwenzio ndani make wrote ndo unapojitoa hapo kurudi kwenu.
Unafika unayumbaaa kimaisha maana hana msaada na wewe wala watoto mpaka unasimama tena kimaisha. Michepuko ile sasa inamkimbia maana anaanza kuyumba, kila mwanamke anatimua kila siku nyumba inakua gesti bubu! Unakomaa we mama na wanao mpaka wanaanza shule tayari maisha yanaanza kukaa sawa na umeshamsahau kabisa katika ramani ya moyo wako sasa unaenjoy na watoto wako yeye sasa anajileta.
Anaanza kukusifia kila Sikh asubuhi meseji Mara whatsap, Mara texts na ujinga wotee, haitoshi anaanza kuomba msamaha urudi tena kwake' unajiuliza nirudi kwa kua ananipenda au kwa kua amefilisika niende kumueka kwenye BOOM ili akudhalilishe tena samahani sana, mwanamke sio mua kua una thamani pale unapouhitaji ukimaliza yale maganda unatupa haraka sana maana ni uchafu,
mwanamke pia sio condom unaitumia na kuitupa.
Tabia ya kuwafanya wake zenu au wenza wenu wa ukweli spea tairi muiache sio nzuri. Ana mapungufu mvumilie maana ndo ushamuoa huyo au ndo ushamzalisha tayari, wanaume jifunzeni kuwa na huruma na wake zenu.
Jumapili njema!