Hayo mambo hata kwenye ligi ya zenji yameshawahi kutokea baada ya mchezaji kushikwa na tumbo la kuhara! umesahau hata Rio Ferdinand kuna siku aliomba biscuits wakati mpira unaendelea na akala akiwa uwanjani.
Pia nakumbuka nilisoma kwenye gazeti moja kuwa kuna mchezaji nyota wa England miaka ya 90 alikuwa anaitwa Chriss Waddle akiwa anachezea Marseille ya ufaransa kuna siku aliuchapa usingizi akiwa uwanjani baada ya kutokea mzozo kati ya wachezaji wa timu mbili na baada ya hali kutulia na refa kuruhusu game kuendelea walishtukia jamaa anakoroma kabisa karibu na goli la upinzani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.