Mwanasoka katoa kali!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanasoka katoa kali!!!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by saleh sule, Dec 30, 2011.

 1. s

  saleh sule Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mchezaji mmoja wa mpira wa miguu alitoa kal ndan ya uwanja huku mpira ukiendelea mara akasikika anasema kabanwa na haja kubwa duuh
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaaa.........Duh! haina tofauti na wewe uamke usingizi kati na kutaka ku...........ya!!!!!!!!
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  siku nyingine ale wali halafu anywe maziwa fresh
   
 4. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hayo mambo hata kwenye ligi ya zenji yameshawahi kutokea baada ya mchezaji kushikwa na tumbo la kuhara! umesahau hata Rio Ferdinand kuna siku aliomba biscuits wakati mpira unaendelea na akala akiwa uwanjani.
  Pia nakumbuka nilisoma kwenye gazeti moja kuwa kuna mchezaji nyota wa England miaka ya 90 alikuwa anaitwa Chriss Waddle akiwa anachezea Marseille ya ufaransa kuna siku aliuchapa usingizi akiwa uwanjani baada ya kutokea mzozo kati ya wachezaji wa timu mbili na baada ya hali kutulia na refa kuruhusu game kuendelea walishtukia jamaa anakoroma kabisa karibu na goli la upinzani.
   
 5. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  still loading..
   
 6. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,317
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  File not supported!
  DELETE (yes) (no)

   
Loading...