Mwanasiasa maarufu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanasiasa maarufu Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Semilong, Aug 12, 2009.

?

Ni nani mwanasiasa Maarufu katika Tanzania kwa sasa?

 1. *

  Jakaya Kikwete

  15 vote(s)
  6.4%
 2. *

  Edward Lowassa

  7 vote(s)
  3.0%
 3. *

  Ibrahim Lipumba

  3 vote(s)
  1.3%
 4. *

  Freeman Mbowe

  8 vote(s)
  3.4%
 5. *

  Bernard Membe

  1 vote(s)
  0.4%
 6. *

  Mark Mwandosya

  6 vote(s)
  2.6%
 7. *

  Mizengo Pinda

  5 vote(s)
  2.1%
 8. *

  Seif Sharrif

  10 vote(s)
  4.3%
 9. *

  Dr. Slaa

  146 vote(s)
  62.7%
 10. *

  Zitto Kabwe

  16 vote(s)
  6.9%
 11. *

  Dr. Mwakyembe

  4 vote(s)
  1.7%
 12. *

  John Magufuli

  7 vote(s)
  3.0%
 13. *

  Anne Kilango

  2 vote(s)
  0.9%
 14. *

  Augustine Mrema

  3 vote(s)
  1.3%
 15. *

  Salim A. Salim

  6 vote(s)
  2.6%
 16. Amaan Karume

  1 vote(s)
  0.4%
 17. *

  Rostam Aziz

  8 vote(s)
  3.4%
 1. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  VOTE HAPO JUU,
  HATA KAMA SIO MWANACHAMA WA JF UNAWEZA KUPIGA KURA

  Hii ni Opinion poll ya JF kuangalia nani ni mwanasiasa maarufu na mwenye mvuto.

  Majina yako in alphabetical order

  Limitation of the poll:

  Nimeona niweke walau watu ambao wanaweza kuwania nafasi ya juu ya uongozi na kushinda, kama kuna mapendekezo waongezwe wengine usisite kusema. Pia nimetoa majina kutoka kwenye vyama vikuu vitatu niki-assume kwamba mtu kutoka chama kidogo hawezi kushinda.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mkuu samahani, ila huo umaarufu ni kwa kutumia vigezo gani hasa? Kujulikana tu au umaarufu katika utendaji wa mwanasiasa husika? Manake hapo wanatofautiana, kama tukitumia kigezo cha umaarufu kwa kujulikana jibu nadhani hata wewe mwenyewe unalo tayari.

  Nitashukuru nikipata ufafanuzi zaidi kabla sijapiga kura yangu.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Aug 12, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Jamani kwa nini Mwakyembe asiondoke CCM? kuna nini humo?
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Well are we looking for the most famous or the most popular? If it is just a matter of being famous then Kikwete probably wins. He is the president and usually the president is the most known.
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kwanini wabongo tunapenda kujua nani zaidi? huu umaarufu ha hao wezi utatusaidia nini?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Aug 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Wewe hunizidi mimi umaarufu
   
 7. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  umaarufu ni moja ya sababu za kushinda uongozi, na uongozi ndiyo funguo ya kukuibia wewe?? ukijua nani ni maarufu inaweza ikakusaidia kuficha funguo au kumpa funguo....
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  True mkuu. Na wengi wanaoshinda uongozi aidha wao wenyewe ni maarufu au wame pewa shavu na mtu maarufu. Ndiyo maana kwenye kampeni za hizi chagui ndugo tumeona vyama vikimwaga wanasiasa wao maarufu kwenda kusaidia wagombea wao.
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  aaah basi kwenye list mbona simuoni Rostam Aziz,mwakalinga.......
   
 10. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hapo nafikiri inabidi urekebishe kidogo ,kwangu mimi

  Rostam Aziz (RA) ni maarufuku kuliko wote akifuatiwa kwa mbali na Lowasa ,umaarufu huu ni sawa kama ulivyo umarufu wa Osama Bin LAden anavyojulikana duniani kwa sasa wenda kuliko mtu yoyote.

  Kama kiutendaji Jonh Pombe atakuwa anaongoza japo kwa asilimia zilizo chini ya D.

  Sijapiga maana sijaelewa umaarufu kwa kigezo kipi
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Aug 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Vipi Nyani Ngabu mbona hayupo kwenye orodha? Nimeshatangaza azma yangu ya kugombea ubunge kule kwetu Nyambiti
   
 12. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  teh teh teh
  Nyambiti ya kwimba karibu na Taro school teh teh teh pale NGudu.
   
 13. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh teh
  jiandae tutapambana vibaya maana nami na mpango kama wako .Tokopambana ghete bagh'eshi
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Aug 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Bebe nang'ho kinehe shi lulu? Nahene nduhu mhayo...dugwibona...

  Nalitwala magiligita makumi a bili
   
 15. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Tatizo moja nililoliona juu ya hizi opinion polls za JF ni kwamba, watu wakishapiga kura na mwelekeo ukawa against Kikwete basi thread hiyo inafungwa! Nashawishika kuhisi kuwa hizi polls zilaletwa na watu wa UWT humu ili kugauge popularity ya Jakaya na kuona kama kuna wengine ambao wanampiku!!. A case in point ni ile poll iliyoorodhesha watu ambao wangeweza kuchukua nafasi ya Jakaya 2010; mara majina ya wengine yalipokuwa yanampiku Kikwete mkaifunga thread, watu wa UWT acheni kutuchafua nendeni mkawakamate mafisadi!!
   
 16. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  teh teh teh
  sasa jiandae huko tutakutana ,tokob'ona nani ale zagamba!!

  Ok mkuu piga kura hapo
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ongeza wakina:
  Masha
  Nchimbi
  Makonoro Mahanga
  Serukamba
  Adam Malima
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 19. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Popular= mwenye mvuto= siasa zake zinakuvutia.
   
 20. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nyani we ni maarufu kwa kitu gani? Mbona hata haufahamiki kivile si aheri hata mimi nipo juu yako.
  Vp kama mm pia ni mtu maarufu naruhusiwa kujiongeza kwenye list?...
   
Loading...