kwanini wabongo tunapenda kujua nani zaidi? huu umaarufu ha hao wezi utatusaidia nini?
umaarufu ni moja ya sababu za kushinda uongozi, na uongozi ndiyo funguo ya kukuibia wewe?? ukijua nani ni maarufu inaweza ikakusaidia kuficha funguo au kumpa funguo....kwanini wabongo tunapenda kujua nani zaidi? huu umaarufu ha hao wezi utatusaidia nini?
umaarufu ni moja ya sababu za kushinda uongozi, na uongozi ndiyo funguo ya kukuibia wewe?? ukijua nani ni maarufu inaweza ikakusaidia kuficha funguo au kumpa funguo....
aaah basi kwenye list mbona simuoni Rostam Aziz,mwakalinga.......umaarufu ni moja ya sababu za kushinda uongozi, na uongozi ndiyo funguo ya kukuibia wewe?? ukijua nani ni maarufu inaweza ikakusaidia kuficha funguo au kumpa funguo....
Vipi Nyani Ngabu mbona hayupo kwenye orodha? Nimeshatangaza azma yangu ya kugombea ubunge kule kwetu Nyambiti
Na wewe wa nyumbani nini?
Teh teh teh teh
jiandae tutapambana vibaya maana nami na mpango kama wako .Tokopambana ghete bagh'eshi
Bebe nang'ho kinehe shi lulu? Nahene nduhu mhayo...dugwibona...
Nalitwala magiligita makumi a bili