Wale wa lumumba, wanashindwa kumsimamia baba j na serikali yake wakiamini kuudhibiti kuwanyanyasa na kuwadhalilisha wapinzani ndio suluhisho ya matatizo yao. Itafika siku hichi kinachofanyika sasa kwa wapinzani nitafanyika na kwao pia.
Yule aliyemchapa mtu fimbo hadi akazimia, anashindwa kuongoza bunge kwa uhuru na haki na kuisimamia serikali, nguvu zake zote kazielekeza kudhibiti upande wapili. (shame on them all)