Mwanasiasa gani amekushangaza 2015-2017

9caf6e79ceb93f89188e19459c035bbd.jpg


Hili ndo uwa siamini amini tulivyoachwa hewani
 
Aliyenishangaza ni: -
Rais wangu J.P.M. jinsi alivyoweza kusimamia show ya makinikia ya dhahabu bandarini na kumleta mmiliki wa Barrick nchini bila matarajio na kuahidi kujenga kiwanda cha kuchunjua dhahabu nchini na kuwa wako tayari kuzungumzia makinikia na utoroshwaji wake kwa miongo 2 sasa na ikibidi kulipa fidia wafanye hivyo haraka. Si hivyo tu bali kupeleka bungeni mikataba ijadiliwe na sheria zetu zitungwe upya za usimamizi wa madini.

Huyu ni jabari amenishangaza kwa ushujaa alionao. AMETISHA KIUKWELI KATIKA AFRIKA NA SI TZ PEKEE.
 
Kwa kweli Mzee Lowasa na Sumaye sikutegemea kama wangehama CCM pia Sikutegemea kama Magufuli atakuwa wetu wa Tanzania! Yote heri.
Mungu aendelee kumlinda na kumtumia Magufuli kwa Watu wake wa Tanzania!
 
aliyenishangaza ni jamaa mmoja aliyedundwa gongo sijui lilikuwa la kichwani au la mgongoni na mpinzani wake ndani ya chama chao hadi kuzimia

aliyempiga akapeta kinoma lakini afya yake ikazingua sana mpaka yule aliyepigwa akapewa ukuu wa wilaya ndo mpigaji akapata nafuu na kupona.

nilishangaa sana
Mkuu....hawa wa wapi maana mbona story ilianza km ya Spika wakati wa kura za maoni?
 
Mie Kanishangaza Sana Mbunge Msomi wa Arumeru Mashariki Ndg Joshua Nassari kwny Mkutano wa Bunge la Bajeti kutumia Nafasi adimu ya kuongelea Matatizo ya Wananchi wake yeye akawa bize kuzungumzia Nyanya na Mboga Mboga zilizoharibiwa Shambani kwa Mbowe
 
Back
Top Bottom