Mwanasiasa gani amekushangaza 2015-2017

Waziri wa viwandor ndugu Mwijage kwa kusema ukiwa na vyereheni vinne hicho ni kiwanda! Kwa kweli nilitembea mtaa wa double road hapa Moshi nikaona viwandor zaidi ya 200 vikiwa kwenye baraza za maduka!
 
aliyenishangaza ni jamaa mmoja aliyedundwa gongo sijui lilikuwa la kichwani au la mgongoni na mpinzani wake ndani ya chama chao hadi kuzimia

aliyempiga akapeta kinoma lakini afya yake ikazingua sana mpaka yule aliyepigwa akapewa ukuu wa wilaya ndo mpigaji akapata nafuu na kupona.

nilishangaa sana
Mkuu huyo si ndugai?
 
Back
Top Bottom