BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 482
Eti uminganishe Mnyika na Makamba???????? Du, huoni hata aibu!!!!!!!
Mnyika kichwa kinachofanyakazi bila PRESSURE.
Mnyika kichwa kinachofanyakazi bila PRESSURE.
To me Zito Kabwe serve the best,tuache utani!!
Zitto ni kinyonga ambaye hadi sasa rangi yake haijajulikana hivyo haakisi taswira ya kijana anayetakiwa hapa
Unafki huo! Nakama c unafki angusha sifa/harakati walizo zifanya hao vijana wako zinazo mbiga pini Mh zito/Rais mtarajiwa kipenzi cha wengi( wasio na majungu )
Eti uminganishe Mnyika na Makamba???????? Du, huoni hata aibu!!!!!!!
Mnyika kichwa kinachofanyakazi bila PRESSURE.
kama haya yote katika kumtetea mnyonge basi nimeyabariki..wana tofauti kubwa unapokuja kwenye maswala ya kijamii na mahusiano eg. mdee anatajwa kujihisisha na usagaji, lema ana jeuri, hasira, ubabe na sometimes lugha chafu but mnyika ni jembe
punguza bangi!!!january yusuf makamba ni mkristo?au ulivyoona january ukalihusisha na wakristo!!!Kwanza mshusha uzi umejaa ukristo, haiwezekani vijana hao wote wakawa wagalatia watupu. Huwezi sema kati ya vijana hao Mh. Zito Zuberi kabwe hawezi kuwa mfano wa kuigwa, huo ni ujinga, udini, na kuji fanfa hujui wakati akili unazo. Binafsi nime udharau uziwako kama nilivyo kidharau CDM.viva Zito,ww ndio kiongozi unae faa kuongoza taifa hili,