Naamini upotoshaji wote uliyofanywa na wanaharakati kuhusu Katiba mpya kesho utatokomezwa na AG
aksante kwa taarifa though hatutegemei jipya toka kwake zaidi ya muuendelezo wa upotoshajiWakuu,
Nimepata taarifa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Fredrick Werema atazungumza na Wanahabari kesho, Jumamosi, Agosti 16, 2014 kuanzia saa4:30 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano (Ground Floor) wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora uliopo katika Jengo la Haki (Haki House), mtaa wa Luthuli -- mkabala na jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais na mita chache kutoka Makao Makuu ya Wizara ya Fedha. Katika mkutano huo, Mhe. Jaji Werema atafafanua masuala kadhaa ya kisheria yanayohusu mchakato wa katiba.
Nyote mnakaribishwa. Wanahabari mnaombwa kuwa ukumbini ifikapo saa 4:15 asubuhi kesho..
mkuu wako dar wakitengeneza mkakati wa kuwarubuni wajumbe ili hatimaye wapate 2/3 ya Zanzibarmbona kila mtu yupo dar mawazir ,mwanasheria mkuu wa serikali sasa huku dodoma anaejadili rasimu ni nani naombeni mnifungue maana nipo kwenye kiza
kwa jina la Yesu pokea uponyaji,funguka na uwe huru kuanzia sasa na Siku zote za Maisha yako yaliyosalia hapa duniani-amenNaamini upotoshaji wote uliyofanywa na wanaharakati kuhusu Katiba mpya kesho utatokomezwa na AG
Wakuu,
Nimepata taarifa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Fredrick Werema atazungumza na Wanahabari kesho, Jumamosi, Agosti 16, 2014 kuanzia saa4:30 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano (Ground Floor) wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora uliopo katika Jengo la Haki (Haki House), mtaa wa Luthuli -- mkabala na jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais na mita chache kutoka Makao Makuu ya Wizara ya Fedha. Katika mkutano huo, Mhe. Jaji Werema atafafanua masuala kadhaa ya kisheria yanayohusu mchakato wa katiba.
Nyote mnakaribishwa. Wanahabari mnaombwa kuwa ukumbini ifikapo saa 4:15 asubuhi kesho..
kati watu nawadharau sana ni hili ----- werema sijui vigezo gani viliangaliwa kuteuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.
Hawezi kuishauri serikali kwa kitu chochote kuhusu sheria poor anaganga njaa tu.
Aliyempa ushauri rweyemamu wa ikulu ni nani kama siyo yeye?? Sheria gani inampa rais kuteua bila kutengua??? Maskini tanganyika yangu mafisadi kama hawa sijui lini wataisha
Wakuu,
Nimepata taarifa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Fredrick Werema atazungumza na Wanahabari kesho, Jumamosi, Agosti 16, 2014 kuanzia saa4:30 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano (Ground Floor) wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora uliopo katika Jengo la Haki (Haki House), mtaa wa Luthuli -- mkabala na jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais na mita chache kutoka Makao Makuu ya Wizara ya Fedha. Katika mkutano huo, Mhe. Jaji Werema atafafanua masuala kadhaa ya kisheria yanayohusu mchakato wa katiba.
Nyote mnakaribishwa. Wanahabari mnaombwa kuwa ukumbini ifikapo saa 4:15 asubuhi kesho..
Kati watu nawadharau Sana ni hili ----- werema sijui vigezo gani viliangaliwa kuteuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.
Hawezi kuishauri serikali kwa kitu chochote kuhusu sheria poor anaganga njaa tu.
Aliyempa ushauri Rweyemamu wa Ikulu ni nani kama siyo yeye?? Sheria gani inampa rais kuteua bila kutengua??? Maskini Tanganyika yangu mafisadi kama hawa sijui lini wataisha
Kikwete amebugi sana katuletea mwanasheria mkuu bondia.