Mwanasheria Mkuu wa Serikali achia ngazi haraka sana, ni aibu kwa Serikali

Lakini ukiwa kama mwanasheria nguli unashindwa nin kusimamia katiba?
Unasimamia na ndiyo hivyo ,ina maana Rais alimwambia hivi na vile.Na mwanasheria akawaambia kisheria haikubaliki na ndo maana kapeleka mswada bungeni.
 
Tatizo ni wagumu kukiri hadharani kama kazi ya kuendesha nchi imekuwa oversized kwao..
 
Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?

Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima,January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.

Legacy ya Makamba ni ipi hapo Tanesco?
 
Wa kuachia ngazi ni hao wazanzibar waliofanya upumbavu wa kihistoria kutaka kuharibu Tanganyika na ni wapumbavu sana hao wazanzibar
Unakusudia Raisi Samia, na Mbarawa?
Hivi leo si Watanzania tena?
Ubaguzi unakutafuna ndugu yangu.
Magufuli alipoharibu mulianza kusema Sukuma Gang.
Lini yataisha maujinga ujinga haya?
Watu wakikosea serikalini wanatajiwa uasilia wao!
UJINGA NA UBAGUUZI


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Nimeshindwa kabisa kuelewa utawala wa nchi hii!
Usiku wizi! mchana wizi! kuanzia J3 hadi J2 ni wizi!
Siamini kama hawa ni wa Tanzania wenzetu!
 
Haki za Binadamu kama zipi bila shaka wewe ni upinde
Upinde ni nini na umejiridhisha vipi kuondoa shaka kwamba mimi ni upinde?

Magufuli kavunja katiba na haki za binadamu za watu kufanya mikutano ya kisiasa.

Sasa hapo upinde unahusikaje?

Na kwa nini unatoka kujadili hoja unakwenda kunijadili mimi kwa ad hominem attack logical fallacy?

Umeshindwa kujadili hoja mpaka uje kunijadili mimi kwa logical fallacy ya ad hominem?

Unajua ad hominem ni nini?

Unajua logical fallacy ni nini?
 
Kwa nini ayakubali?
Kw style hii hatutakaa tuendlee. Wangehitaji "yes madam" ingefaa zaidi wangeajiri toka polis ambapo wangepata wenye mafunzo hayo-kutii amri bila maswali tena ni "less costly". Kuweka wasomi wenye kutii maelkezo ni kuwazalilisha. Lkn pia hao waliopo, kuna wanaChofaidi, hivo hawajali. Maskini Tz
 
Siku ile wanapitisha IGA kule bungeni mwanasheria mkuu wa serikali hakuwepo, hii ni fact, taka usitake.
Unadhani hata kama angekuwepo angefanya nini?
Au ungekuwa wewe ndio yeye ungefanya nini?
Wewe mwenyewe hapo yamkini unang'ang'ania kaajira ka mshahara laki 5 mbona huachi kazi?
Unataka mtu ajiuzuru, je akijiuzueu ndio atazuia jambo husika kufanyika?
 
Unadhani hata kama angekuwepo angefanya nini?
Au ungekuwa wewe ndio yeye ungefanya nini?
Wewe mwenyewe hapo yamkini unang'ang'ania kaajira ka mshahara laki 5 mbona huachi kazi?
Unataka mtu ajiuzuru, je akijiuzueu ndio atazuia jambo husika kufanyika?
Kwa hiyo watanzania wote waangamie kwa mikataba mibovu kisa tu mwanasheria mkuu wa serikali analinda ajira yake?
 
Back
Top Bottom