Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,175
- 56,683
Unasimamia na ndiyo hivyo ,ina maana Rais alimwambia hivi na vile.Na mwanasheria akawaambia kisheria haikubaliki na ndo maana kapeleka mswada bungeni.Lakini ukiwa kama mwanasheria nguli unashindwa nin kusimamia katiba?