Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu apata wafuasi Mil.90 duniani

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Kutokana na uchunguzi uliofanywa na gazeti mahiri Tanzania unaonyesha Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Jimbo la singida mashariki Tundu Lissu apata wafuasi Mil.90 duniani ndani ya muda mfupi baada ya kuhojiwa katika kipindi cha Hardtalk.
IMG_20190127_072728.jpg

=================
 
Kutokana na uchunguzi uliofanywa na gazeti mahiri Tanzania unaonyesha Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Jimbo la singida mashariki Tundu Lissu apata wafuasi Mil.90 duniani ndani ya muda mfupi baada ya kuhojiwa katika kipindi cha Hardtalk
=================
Pigo kubwa sana hili kwa majizi ya cccm walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwehu fulani lazima aje atoe mapovu ndo ajisikie. Yaani yule mkurlu hata akimpiga pipe atamsifia, na kila kitu kikifanywa na wanaCHADEMA lazima atokwe povu.
Mimi si mfuasi wa Magu ila kuna wakati namkubali kwa baadhi ya mambo.
 
Back
Top Bottom