Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

Kwann serikali inaweka mkono wake Ndani yamahakamahiyo na je waupande wapili nawao wakiunda mahaka Yao ..mahakama zaserikali zitahukum wakinani

Upande wa pili wana sheria gani? Tumia akili siyo kuropoka tu ili uonekane umechangia
 
Mpuuzi huyu, aache hizo danganya toto! Katika Uislamu, Mahakama ya Kadhi, ni Ibada! Serikali inajihusishaje na Ibada ya Dini moja? Kumbe ndiyo sababu ya Masaju kupewa nafasi hiyo, ili atuletee chokochoko za kidini! Apotelee uchochoroni! MAHAKAMA YA KADHI TANZANIA, HAIKUBALIKI!!!!!! Period!

Kwanini isikubalike? Wewe ni nani hadi uwaamulie waislamu? Tunafuata taratibu za sheria na zikitimia mahakama ya kadhi itakuwepo usipopenda kanywe sumu idiot.
 
Wakristo wa Kweli hatudanganyiki kwa kujifunza Zanzibar;ambao wametenga pesa ofisi ya kadhi kinyume na kauli ya sirikali
 
Mpuuzi huyu, aache hizo danganya toto! Katika Uislamu, Mahakama ya Kadhi, ni Ibada! Serikali inajihusishaje na Ibada ya Dini moja? Kumbe ndiyo sababu ya Masaju kupewa nafasi hiyo, ili atuletee chokochoko za kidini! Apotelee uchochoroni! MAHAKAMA YA KADHI TANZANIA, HAIKUBALIKI!!!!!! Period!

Mnamzingizia bure bila haya. Rais Kikwete aliwahi kulizungumzia hilo suala kuwa haiwezekani Mahakama ya Kadhi kuendeshwa kwa pesa za Serikali mbele ya Mashehe ktk Baraza la Idi miaka mitatu iliyopita. AG amezungumza kufuatana na msimamo wa Rais, vingunevyo msimamo wa serikali ugeuke.
 
Kama watagharamia wao kwanin wapeleke msaada bungeni?? Watumie kodi ya wengi kwa maswala yao??
 
mkuu sijui ni chuki zako ama ni akili yako ya 0.2kb.=-O


mfano inapotokea speaker kuwatakia waislam mfungo mwema wa Ramadhani anakua ametumia muda wa serikali kujadili mambo ya dini.?

Au wabunge wanapotumia muda wao kujadili vifungu vya dini ndani ya katiba wanakua wametumia muda wa serikali kujadili dini?

vp kuhusu sikukuu kutabuliwa na serikali nako ni nikujihusisha na mambo ya dini.?

vp kuruhusu wanafunzi kwenda kupaka majivu siku za masomo nako ni kujihusisha na mambo ya dini kwa kuingilia ratiba za masomo zinazotambuliwa na serikali,Au ni kuheshimu imani za watu.?

vp swala la DECI wakristu walipokua wanakopeshana fedha katika mfumo uliokua unaelekea kutapeliana.Je serikali ilipotumia sheria na media zake kufuta huu mfumo,je ilitumia muda wake kujadili mambo ya dini?

waislam ni sehemu ya nchi hii na wanahaki ya kufanya ibada na serikali inazitambua,na serikali inatambua yote yanayofanyika ndani ya misikiti na makanisa.
labda kama umekulia ndani ya parokia kulee Lubya au peramiho hujawahi hata kuishi na waislam.

Anzisheni Mahakama zenu lakini siyo kwa kutumia pesa za Serikali, serikali haina dini
 
Wanaume wa Kiislam wanataka watumie mgongo wa mahakama ya kadhi ili kuvuna mali za wanawake, maana wanawake wa kiislam ndio wachuma mali, wanaume wanacheza bao na kunywa kahawa, sasa wanaume wanataka siku wakipeana talaka mwanaume achukue mali nyingi wakati mali imechumwa na mwanamke
 
Utata ulikuwa kwenye kugharamiwa na serikali.. serikali isihusishwe hata kwenye gharama yeyote hata kwa sh1.

Kama inajua haitaigharamia inahusikaje kwenye kuianzisha wasilete usanii hii kitu kwa nini wanaing'ang'ania leo au tuseme wakati huu? Hawajui kwa Tanzania mwislamu na mkiristo kuona ni jambo la kawaida, na wakianzisha itatumika sheria ipi? Chonde chonde wasituletee balaa sie.
 
Watanganyika msidanganyike;kuna kitu kimejificha nyuma ya mahakama ya kadhi;lakini mjue amani na uislamu vitafutika Tz !
 
Very soon siasa zinakwenda kutugawa kidini, machafuko yatatokea wakubwa watakuwa wanachukua vyao mtwara kimyakimya tu....mpaka uwe na macho3 ndio unaweza kuona hii kitu.MAHAKAMA YA KADHI HAPANA , huo mrundikano wa kesi ni kutokana na ubabaishaji wa kuendesha kesi....wewe kila kitu kipo wazi utaambiwa uchunguzi haujakamilika (kumbe wanaandaa mianya ya takrima) ukikamilika tu watuhumiwa wako mitaani na kesi hakuna
 
Itaongozwa na chombo gani wakati hawataki kuckia bakwata? Labda itasimamiwa na jumuiya ya uhamsho
 
hivi Watanzania sijui tumerogwa na kitu gani? kwa nini tunakubali kupigwa upofu kirahirahisi hivi???

tunakubali kuondolewa kwenye njia kuu (mada za kujadili ufisadi wa escrow, sukari, etc) na kupelekwa kwenye michepuko ya kutugawa kama hili la mahakama ya kadhi.

serikali ya CCM haina nia kabisa ya kuwapa ndugu zetu Waislamu wanachokidai - huo ndiwo ukweli ambao ndugu zangu Waislamu muujue fika.

na ninyi ndugu zetu Wakristo msikubali kuingizwa kwenye mtego huu wa mafisadi wanaotaka kutumia tofauti ya imani za Watanzania kuendelea kutufisadi. mahakama ya kadhi iwepo isiwepo hawa Dracula wataendelea kutunyonya damu zetu mwanzo mwisho!!

Point, word
 
Shirikisha kichwa kabla ya kupost badala ya kutumia masaburi... huduma za afya zitolewazo makanisani zinahudumia jamii nzima basipo kubagua imani wala dini ya mtu... ni tofauti na hizo mahakama zenu zinazoenda kushughulikia wake na watoto wa ustadhi kipozeo kwenye
Waislam wenzangu tususie huduma za jamii zitolewazo na wakiristo,,,, eg hospital kama Nyangao lindi, bmc mwanza, kcmc moshi, universities eg saut, nk.
 
Acha kujiweka hamnazo!
Hospital za Makanisa zinatoa huduma kwa MALIPO pamoja na kuchukua RUZUKU itokanayo na kodi ilipwayo na kila MTU afanyaye Kazi au Biashara tkt JMT Vila kujali nani mwenyeji nani mgeni!!! Diplomatic ama baadhi ya Watumishi ktk Sekita za Serikali na Wale wenye misamaha ya Kodi tu, ndo wasolipa hiyo kodi.

Dhahiri kuwa Mkrito maana ni Dini lakini wa humu jf ni wachoyo na wenye wivu.

Waislamu ni walipaji Kodi sana na mgawo unakuja hadi ktk makanisa mashule nk.

Anapokuja Hospitalini analipia huduma za matibabu kulingana na huduma aloipata, hakuna huduma ya bure ktk Hospital hizo labda kwa Wakrito wenyewe kama wao wanapata matibabu bure

Kodi inayolipwa na Mwiislam anatumika koteee.

Basi kodi za Waislamu zikalipiwe huko KWA KADHI badala YA TRA.! MPO RADHI????!!!!!

Sure, waislam tususie huduma za wakiristo
 
Nataka kujua kama mahakama kadhi ndio italeta maendeleo na kukoma ufisadi ndani ta nchi hii.
Kama jibu sio basi sioni la maana hapa la kujadiliana.

Tanzania kamwe haiwezi kuwa nchi ya kiislam au ta kikristo.Tutauana usiku na mchana.
 
Back
Top Bottom