Kama ni bright.Mwanao akimaliza la sana usihangaike, mpeleke QT miaka miwili, then akimaliza aendelee, save money and time.
[emoji3516]Mwanao akimaliza la sana usihangaike, mpeleke QT miaka miwili, then akimaliza aendelee, save money and time.
Kama BADO ni ndogo miaka 12,13,14 unampeleka short cut huoni ni TATIZO!!?
Huku kwetu kuna gari limeandikwa iga ufe...😂Nina bosi wangu. Watoto wake shule za msingi wamesoma kenya.. mapaka wamemaliza primary.
Kisha kawarudisha bongo kawasomesha sekondari o level kwa njia ya QT.
Miaka miwili wameshamaliza form 4. Na mmoja alipata div 2 na mwingine div 3.
Kisha kawapeleka chuo,, mmoja kaenda certificate ya nursing makerere.
Mwingine anafanya mitihani ya CPA kuanzia stage za chini.
Watoto wake hata miaka 18 hawajafika kashawapeleka vyuoni.
Sawa, badala yake unashauru nini kifanyike..??Mwanao akimaliza la sana usihangaike, mpeleke QT miaka miwili, then akimaliza aendelee, save money and time.
Huku kwetu kuna gari limeandikwa iga ufe...😂
Kama wewe ulivyomaliza la SANA ukaenda QT.. save maney 😂😂😂Mwanao akimaliza la sana usihangaike, mpeleke QT miaka miwili, then akimaliza aendelee, save money and time.