Mwanangu sio photocopier

Mwanangu sio photocopier

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
20,296
Reaction score
13,327
Jamaa - Mama mkwe nimekuja kuleta shitaka
Mama Mkwe- shitaka gani mwanangu?
Jamaa-haiwezekani mwanao anizalie watoto ambao sifanani nao hata kidogo.
Mama mkwe-Eeeh kijana naomba tuheshimiane ulivyo kuja kuoa uliambiwa mwanangu ni photocopier? ukitaka watoto wa kufanana na wewe tafuta photocopier machine,Sawa?
Jamaa akabaki ameduwaaa!!
 
Back
Top Bottom