mwanangu @ronn m..............uko wapi?

gfsonwin come this way beib. Kijana ron m nimemtuma kwa babu yake Asprin akiwa na ujumbe wa siri, na yeye ndo atanisaidia unajua tena mambo ya wazee

Ila akirudi wakeze Yummy, BADILI TABIA na cacico watampa mtama atuletee

"mtoto si nguo, utaomba mtu!"

Sasa wewe utamtumaje mtoto bila kumwambia mamake?
Unaona anavyohaha...
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky habari ya masiku bana long time no see kumbe upo kwa kina zomba na Matola so mshindi ni nani?

Mkuu Kaizer nilishangaa tuu naona watu wanatoa data na namba zenye sifuri nyingi mpaka nashindwa kuzihesabu
Sasa nikajiuliza huyu bibi yangu hapa kijijini nikimwambia kuwa kuna sera ya wazee na kuna misaada ya wazee imetengenewa namba hizi zenye sifuri sifuri nyingi atanielewa kweli
Nikajikuta nashindwa kuendelea nikaamua tuendelee kula ugali wa mtama wa hapa kijijini
Mkuu Kaizer nipo bana napambana na vumbi la huku kijijini na kilimo haswa
Nilimsifu Zomba kwa kusimamia upande alioamua kuwa na kuwa 'collected' muda wote japokuwa sikukubaliana na baadhi ya hoja zake, anyway nilijifunza kitu.
Kongosho namsifu zomba aliamua kutetea kile anachokiamini na niliona ni ngumu sana kumtoa kwenye msimamo wake haswa pale alipoamua kuwa yeye anatetea anachokiamini ni sawa
Ni ngumu sana kumuondoa kwenye kile anachokiamini kuwa ni sawa

Hujambo rafiki?
Keren_Happuch hizio salam ni zangu za mkuu Kaizer
Mi mzima kabisa aise miss u sana
 
Last edited by a moderator:
My dear gfsonwin nipo bana
Mjadala ulinibore nikaona naletewa data tuu siambiwi hizo data zinamfaidishaje mtu wa sumbawanga au maneromango au nkasi kule au huku kijijini kwangu Hungumalwa
Nikaona madata yenye masifuri sifuri mengi bila hata kujua yana faida gani
nikachanganyikiw anikaona bora nikale ugali wangu wa mtama nipumzike

Mahabuba wangu achana na masiasa yao wasikuzeesha kabla ya siku zako........acha nijifaidie mautamu yako nikishayanyonya yoooote ndo uingie kwenye sihasa sawa beibe.
:focus: mme wangu twende tukamlete mtoto wa gfsonwin apate faraja
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky habari ya masiku bana long time no see kumbe upo kwa kina zomba na Matola so mshindi ni nani?

Nilimsifu Zomba kwa kusimamia upande alioamua kuwa na kuwa 'collected' muda wote japokuwa sikukubaliana na baadhi ya hoja zake, anyway nilijifunza kitu.

My wife Yummy niliingia kwenye ule mjadala siku moja tuu nikazeeka
Maana niliona naletewa data watu wanabishana mpaka mishipa inatokeza
Halafu ukikaa kule hukawii kuchapwa ban maana huchelewi kumwaga mitusi maana mtu anabisha kitu kiko wazi kabisa
Nakuja my wife wangu gfsonwin anaumwa tutaenda kumpa pole baadae

Hujambo rafiki?

Mahabuba wangu achana na masiasa yao wasikuzeesha kabla ya siku zako........acha nijifaidie mautamu yako nikishayanyonya yoooote ndo uingie kwenye sihasa sawa beibe.
:focus: mme wangu twende tukamlete mtoto wa gfsonwin apate faraja
 
Last edited by a moderator:
Ronn popote ulipo mama yako kipenzi ana kutafuta sana. Amelia sana hapa, jamvi lina jaa machozi na masikitiko sana.
Uchungu wa mwana ana ujua mzazi ana tia huruma mama yako.
Macho yake yamekuwa mekundu kwaajili ya kukulilia akizani na wewe umepotelea mwabe pande.

Popote ulipo sikia kilio cha mama yako na angekuwa ni wakule kwetu angesha jinyonga.

Ronn sikia kilio cha mama yako.
rutta thanks a lot ma bro nisaidie kuniitia mwanangu.
 
Last edited by a moderator:
Asprin endelea bana kunitafutia mwanangu..........................
Hahahaha! Naogopa kufumaniwa LOL

attachment.php
 
Nimepishana naye mtaa wa pili sijui alikuwa anaelekea wapi? Ngoja niungane na wengine kumtafuta.
Katavi endelea ma dearest kumtafuta manake mpaka sasa hajapatikana
 
Last edited by a moderator:
Nimepishana naye mtaa wa pili sijui alikuwa anaelekea wapi? Ngoja niungane na wengine kumtafuta.
Katavi endelea ma dearest kumtafuta manake mpaka sasa hajapatikana
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin walinichosha bana naona wanapongezana kwa kuweka data za kucopy na kupaste kutoka kwenye wizara zile zile ambazo zimejaa madudu kibao ya ufisadi halafu wanajisifia wamefanya kazi
Sijui Mkukuta sijui mkurabita maneno magumu ili kutuaminisha wanafanya kazi
Niliwaachia wewe na Kongosho muendeleze league na akina Mwali na zomba bana
Ngoja nishirikiane kumtafuta Ronn M
Mr Rocky endela bana mpaka sasa sijamwona mwanangu jamani.
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe utamtumaje mtoto bila kumwambia mamake?
Unaona anavyohaha...

Ni mambo ya wanaume Remmy, si unajua tena mila za kwetu....mamake gfsonwin anavompenda askipitisha masaa hajamwona ndo ivo anapanick
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom