mwanangu @ronn m..............uko wapi?

mwanangu @ronn m..............uko wapi?

Hawa watoto wa siku hizi hawawakumbuki hata mamazao gfsonwin ..pole sana mzazi!..endelea kuminya ziwa sasaivi ataibuka..by the way weekend ikoje pandezako?
 
Last edited by a moderator:
subiri nikapige maombi, nikimaliza tu kijana ataibuka............




Jamani wapenzi wa chit chat leo sina raha kabisa.

Naiona kama week end hii ni mbaya kwangu kwa kumkosa mwanangu ronn .Wajomba zake wote Eiyer, platozoom, Excellent, Mbimbinho, na aunt yake Smile. mtafuteni jamani.

baba mtoto Kaizer mshtue hommie wako Asprin na wakeze wote cacico, BADILI TABIA, na Yummy waje wanitafutie. marafiki zangu zote akina Kaunga, Preta, sweetlady , Kongosho, kingasti, na makaka wote wa ukweli erick52, cartura, SnowBall, Billie na Mr Rocky mtafuteni mwanangu jamani tumbo la udele linauma sana.

wazee wenzangu Mtambuzi, Remmy na mama yangu Mamndenyi mtafuteni jamani.

mwambieni hivi momy loves him come home this week end please. Erotica usikose kwenda kumtafuta.
 
Hawa watoto wa siku hizi hawawakumbuki hata mamazao gfsonwin ..pole sana mzazi!..endelea kuminya ziwa sasaivi ataibuka..by the way weekend ikoje pandezako?

jamani saa hizi ni saa usiku mpaka ss sijamuona jamani uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii SnowBall sina hata wkend jamani nitafutie mwanangu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtoto katili sana lakini usijali atakuja labda alikuwa na kiburudisho chake all day.
jamani saa hizi ni saa usiku mpaka ss sijamuona jamani uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii SnowBall sina hata wkend jamani nitafutie mwanangu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtoto katili sana lakini usijali atakuja labda alikuwa na kiburudisho chake all day.

my bro rutta huwez kuamini hadi sasa hivi hajarudi nyumbani jamani nakufa mwenzenu mtafuteni mwanangu Ronn M
 
Last edited by a moderator:
Hili toto unalitafuta namna hii ni la kiume au la kike?

jamani wewe wajua kabisa kwamba nimezaa madume 4 halafu unasemaje tena? FYI huyu ndo mchumbaye bintio so mtafute jamani mwanagu mpendwa Ronn M
 
Last edited by a moderator:
Kama vipi ntawaoa mwenyewe...

lol! acha kuwanyima wanao uhondo wa kufaidi damu changa, yaani shombo lako la uzee uwaletee wao. na utaoa wote?

ngoja niwmambie mwanangu Ronn M na Clein wawahi kuwamimba.
 
Last edited by a moderator:
Nawasalimia tu Marafiki maana bado sijatulia, nawashukuru wote wanaomuombea Mama yangu. angalau huku naona kuna watu wenye Mapenzi ya dhati na siyo lile jukwaa letu linalowaza Siasa tu bila Human dignity.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom