mwanangu @ronn m..............uko wapi?

mwanangu @ronn m..............uko wapi?

Nawasalimia tu Marafiki maana bado sijatulia, nawashukuru wote wanaomuombea Mama yangu. angalau huku naona kuna watu wenye Mapenzi ya dhati na siyo lile jukwaa letu linalowaza Siasa tu bila Human dignity.

pamoja mkuu

mungu atamponya
 
Nawasalimia tu Marafiki maana bado sijatulia, nawashukuru wote wanaomuombea Mama yangu. angalau huku naona kuna watu wenye Mapenzi ya dhati na siyo lile jukwaa letu linalowaza Siasa tu bila Human dignity.
Matola mkuu pole sana mkuu kwa unapopita ila mwamini mUNGU atafanya tu. binafsi nilichakachua hadi kule kwenye siasa nikakutumia salam za pole na za kukutakia kuuguza kwema. usjali pamoja saaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Nawasalimia tu Marafiki maana bado sijatulia, nawashukuru wote wanaomuombea Mama yangu. angalau huku naona kuna watu wenye Mapenzi ya dhati na siyo lile jukwaa letu linalowaza Siasa tu bila Human dignity.
Aisee pole sana Matola bana......Mungu amjaalie nafaa mama yetu
 
Last edited by a moderator:
hawa watoto wa siku hizi kazi kweli kweli bora ulale tu dada
 
Mama yangu mpenzi gfsonwin! Je si wewe uliyenibeba miezi tisa na point kadhaa ndani ya tumbo lako lililofunikwa kwa ngozi laini na mwororo! Si wewe uliyeninyonyesha katika vifua vyako laini mpaka tukawa tunagombania mimi na baba yangu Kaizer? Si wewe uliyekuwa unanikumbatia na kunipa joto natural toka katika mwili wako mzuri hata baba akaona wivu hasa majira ya baridi? Si wewe uliyekuwa ukitupeleka shopping na kutununulia zile jojo almaarufu 'gudigudi' na perfume ya kobra? Niwezeje kukusahau mama yangu mpenzi! Mimi mwanao nakupenda sana na nakukumbuka. Mambo flani ya maisha yaliniweka bize kidogo. Nipo salama wangu wa moyo wangu! Nakupenda mama yangu. . .Kwa heshima ninakuanzishia thread kule ili kujieleza vyema wangu. Love u precious mom!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom