japhete robert
New Member
- Jul 30, 2019
- 3
- 0
hi wanajamvi natumaini ni wazima wa afya.
ninamtoto anaumri wa miaka 6, wakiume ni kiboko kwa kukojoa kitandaani yani hata kama nikimuamsha usiku bado atakojoa tu nimewaza adi nikaona niandike hii thread lakini pia ni mtundu sana ukimwambia kitu dakika sekunde 30 anakua kasahau, pia hata akifundishwa shuleni anavofika tu nyumbani anakua kasahau tayari ila art zake za mwandiko ni nzuri sana, ninaomba msaada wa hali na mali nifanyaje jamani, zamani nilkua namuadhibu lakini adi saivi nimepoa.Hi hali inanikera sana yani.
Lakini pia mchana anacheza sana na usiku analala fofo.View attachment 1188028View attachment 1188029
We jamaa uko vizuri sana,haya ni MADINI matupu. Ubarikiwepole sana kwa matatizo yanayokukabili.
kuna baadhi ya watoto huwa wanachelewa kuacha kukojoa, lakini wengine huwa ni tatizo la hospital, wengine hupata tiba za dawa za miti shamba. pia kuna maradhi ambayo hata watu wazima huwa wanayo ya kukojoa mpaka ukubwani.
la muhimu la kuanza kufanya ni kuwa na ratiba maalum za saa za kula huyu mtoto, yaani ale milo yake yote pamoja na maji ya kutosha. ikifika saa moja usiku haruhusiwi kula tena mpaka siku ya pili. Pia jitahidi sana kumuachisha juice kabisa za kutengeneza, badala yake ale matunda. linalofuatia awe analala wakati maalum siku zote, kama analala saa tatu iwe hiyo hiyo haibadiliki. Sasa kama atalala saa tatu, itabidi saa sita kumuasha kwenda kujisaidia. na ikifika saa tisa hivyo hivyo, Na saa kumi na mbili, huku ukiangalia wakati gani huwa ndio mara nyingi hujikojolea. Watoto wengi hukojoa alfajiri.
Baada ya ratibu kuizoea ya kumuasha muda huo siku zote, sasa akili itaaanza kuzoea na kuamka mwenyewe kwenda chooni, au kama ukiona haamki, jaribu kumuwekea alarm umwambia ukisikia inalia basi lazima uamke uende chooni kama hujaamka nitakupa adhabu. Jengine hakikisha anakoga siku zote kabla ya kwenda kulala.
Kuhusu suala la kusahau, Ni wewe kutenga muda maalum wa kuanza kumsomesha vitabu vidogo vidogo, ikisha unamuuliza masuala kuhusiana na kile ulichomfundisha. inabidi uende taratibu sana, sio kuweka hasira mbele. yeye ni mtoto umeamua kumsaidia kwa hivyo inabidi uwe na subra sana. Hapo ndio utaanza kumpima kama akili yake ni nzito au ni mchezo mwingi tuu hata tatizo lolote. usiache pia kumuombea dua wewe na mama ake.
ahsante/
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiyo trouser hujaikubaliSasa mipicha ya nn humu na moka white?
Mmefanana sana, usimlaumu kachukua tabia zako. Akikua ataacha.hi wanajamvi natumaini ni wazima wa afya.
ninamtoto anaumri wa miaka 6, wakiume ni kiboko kwa kukojoa kitandaani yani hata kama nikimuamsha usiku bado atakojoa tu nimewaza adi nikaona niandike hii thread lakini pia ni mtundu sana ukimwambia kitu dakika sekunde 30 anakua kasahau, pia hata akifundishwa shuleni anavofika tu nyumbani anakua kasahau tayari ila art zake za mwandiko ni nzuri sana, ninaomba msaada wa hali na mali nifanyaje jamani, zamani nilkua namuadhibu lakini adi saivi nimepoa.Hi hali inanikera sana yani.
Lakini pia mchana anacheza sana na usiku analala fofo.View attachment 1188028View attachment 1188029
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiyo trouser hujaikubali
[emoji38][emoji38][emoji38]Hahahhaa mm white trouzer kwakweli hapana siongizani na ww kbsaa khaa