Mwanangu Kim Jong Un

Lakini ukweli ni kwamba hana ubavu wa kupambana na marekani na ataishia kama saddam na gadafi, namshauri atulize akili na aliunganishe taifa lake na korea ya kusini ili liwe taifa kubwa na la kutisha
 
Mtaongea yote lkn tunangoja muingie kuipiga NK mbona maneno kibao
 
anamuambia ukweli. korea hawezi kupigana na mmarekani. tuwe wa kweli tu. naamini siku amerika akiamua mazima huyo pyongyan atajaribu kila silaha itamgomea. kila kitu kitakuwa frozen na hatoamini. lakini ngoja tusubiri.
Mahaba niue......mbona mmegeuza
 
How is north Korea Army prepared psychologically to advance into the war? Have soldiers had any practical experience into the real combat than Americans?? I think also experience matter into the war.
 
Hakika umetuelimisha wengi kwenye hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani "Hakuna anayejua kinachoendelea Pyongyang"hapo tu mkuu
halafu anawafananisha na maarabu yasiyojielewa Kama waafrika


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni zaidi ya miaka mitatu Sasa toka makala hii imeandikwa.Kwa hiyo Dunia imethibitisha pasipo Shaka kua
Marekani imeshindwa kuivamia Korea Kaskazini.
Pia napenda niweke kumbukumbu kua Ni Jana tu 28 march 2020 Taifa la Marekani liliwekeana makubaliano ya maneno na maandishi ya kumaliza Vita vilivyodumu miaka 18 na Kikundi Cha Talabani.
Taifa kubwa hapa lilishindwa kumaliza Vita kwa njia ya Vita,licha ya kuwa na silaha za kila Aina dhidi ya Watalaban,licha ya kuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi yeyote hapa duniani,licha ya kuwa na mapesa kuliko Watalaban.
Kwa hiyo imethibitika kua Vita sio suala la fedha na uchumi mkubwa.
Marekani wanajiandaa kwa uchaguzi huenda Trump akaendelea au akaja mwingine.
Kama walivyoweza kusema wakuu huko Korea Kaskazini wakati Marekani ilipokua ikitoa vitisho vya kuipiga kijeshi kerea,kuwa "tuone Kama Trump ataweza walichoshindwa Marais wa MAREKANI waliomtangulia".
Trump nae Kashindwa,tunasubiri Rais mwingine baada ya Trump Labda.
 
Sahihi kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Dunia imepoa sana kwa sasa..enzi zile Bwana..mwendo wa kujitoa Mihanga.Na tulikuwa tukisubiri video za Osama acha kabisa.
Siku hizi Corona
 
Ila Dunia imepoa sana kwa sasa..enzi zile Bwana..mwendo wa kujitoa Mihanga.Na tulikuwa tukisubiri video za Osama acha kabisa.
Siku hizi Corona
 
Kuna mfumo anao huo ninzaidi ya s600 wa rusia na yeye ndiye aliubuni na kumgawia rafiki yake urusi aupunguzie makali ...urusi akaunda s400 ambao ni tishio hata mfumo wa marekani na israel ule wa thad haufikiii ...juzi kufanya jaribio likafeli ilikuwa boshen kuwavuta ...ila wakumbuke wakati anaipiga U.S.A japan na korea atakuwa kamalizana nao kabisa totaly .....itakuwa ni vilio na kusaga meno wamuache tu dogo !! Sio mwarabu huyo

sent from HUAWEI
 
Hatari sana
 
Ilikua hatari sana hii maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…