Never Marry a woman with children.
17. Mwanangu!
Usiiache kutusaidia mimi na mama yako, utu uzima una changamoto nyingi sana na Mwenye-ez-Mungu akikujalia utaziona muda ukifika...
This Paragraph is too lyrical.....very sensitive indeed!!
Nimesoma kwa hisia mpaka machozi yamenitoka....dah!!!
Maneno makali sana hayo.. Yamenigusa kwa kweli''
Maneno mazuri sana
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
nimesoma hadi namba 12 nimekata tamaa.. kumbe ni kwa ajili ya waislam bhana.. poa wamekusikia.
Kwenya uislam weka ukristo kisha endelea kusoma tena utafaidika.
sina tena hamu, ashaleta ckasses kwenye uzi unaogusa jamii nzima tena kwenye mambo ya imani....