Mwanangu jifunze haya kuhusu mwanamke

Ushauri mzuri sana nimeupenda ijapokuwa kuna vipengele vinavyohusu iman ya kiislamu zaidi mfano no 7 na zingine,kwa kweli mtu ukipinga yote haya lazima uwe MCHAWI.
 
Mpwa wangu mbona lile la kukuambia uachane na siasa hasa za Majitaka za CCM hujaandika? Maana ndoa nyingi zimeyumbishwa na uzinzi wa CCM. Hakikisha wewe na shemeji hamyumbishwi na siasa chafu. MUNGU awatangulie, nitakutumia mchango wangu

Hahahaha ngoja nicheke tu kwaleo mpwa.
 
Ushauri mzuri sana nimeupenda ijapokuwa kuna vipengele vinavyohusu iman ya kiislamu zaidi mfano no 7 na zingine,kwa kweli mtu ukipinga yote haya lazima uwe MCHAWI.
Mimi muislamu kaka na baba pia.
 
Ushauri mzuri...anafaa kuwafunda wanaume...
Manake mwingine mke akichelewa kupika tu kesi ishafika nyumbani...Mzee kashasema hana hisa juu ya yanayoendelea...lol...muyamalize wenyewe...!

Ukiyafuata utakuwa best husband kwa mkeo...

Nmeichapa na nitaiweka nilalapo kila nikiamka niwe nayasoma ili nisijisahau.
 
Mpwa wangu mbona lile la kukuambia uachane na siasa hasa za Majitaka za CCM hujaandika? Maana ndoa nyingi zimeyumbishwa na uzinzi wa CCM. Hakikisha wewe na shemeji hamyumbishwi na siasa chafu. MUNGU awatangulie, nitakutumia mchango wangu

Michepuko ya topic siyo dili..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom