Mwanangu atasoma shule ya kata kama mimi tu

Mwanangu atasoma shule ya kata kama mimi tu

Nilipiga a ili mwanangu asiishi maisha niliyoishi.
Hatasoma shule za kata
Kiswahili ataongea na wenzake mtaani home ni English
Mhii Kazi ipo, English is a language like kisukuma and not a measure of intelligence. Hamuwaoni wachina hawana time na kiinglish ila sisi mataifa maskin hiiii..
 
Mhii Kazi ipo, English is a language like kisukuma and not a measure of intelligence. Hamuwaoni wachina hawana time na kiinglish ila sisi mataifa maskin hiiii..
Lakini ni International language ambayo imekuwa barrier kwa wengi. Anilaumu kwa mengine lakini nitamjenga kujua lugha zote
 
Lakini ni International language ambayo imekuwa barrier kwa wengi. Anilaumu kwa mengine lakini nitamjenga kujua lugha zote
Acha uongo wewe..

ukisema lugha zote unakusudia lugha zote za dunia au?

si useme tu kiingereza bhana.
 
Ikiwa hao wenye hiyo lugha ya kiingereza wamekosa busara kwa kuunga mkono na kuhamasisha ushoga, basi hata lugha yao haina maana. Ni vizuri zaidi tuboreshe shule zetu na tufundishe maadili yetu kwa kutumia lugha yetu wenyewe.
 
Wewe ni nani mpaka uwapangie / uwashauri watu namna ya kusomesha watoto wao na aina za shule?
 
Nafanya kazi kwa nguvu zote kwa ajili ya watoto na familia, mtoto wangu lazima asome kwenye shule inayoendana na kipato changu cha kati.
 
Shule za kata za sasa sio kama shule tulizosoma. Nitajinyima ili mwanangu asipitie kabisa huko.
 
Siku ukijitambua utarudi tena kuusoma huu uzi wako kisha utajua tofauti ya shule za kata na private. Utatambua ni kwanini watu wanawekeza kwenye elimu ya mtoto akiwa mdogo kuliko akisha komaa.

Zaa tu upeleke watoto kata Magufuli atasomesha.
 
tumekutana nao form one hao academia, wengi wao hadi mitihani ya english yenyewe tuliwapga vzur tu

labda km ulikuwa ni special case(genius) lkn km mwenzangu na mimi ni ngumu mno kuenda sawa na hawa academia, kwanza mkianza form one wenzenu wanapokuwa wapo vizuri kwenye lugha rasmi ya kufundishia sekondary. wakati mwenzangu na mimi hpo ndyo unakomaa kujifunza vocabulary za kwenye definition....labda kwenye hesabu kdogo utaenda nao sawa na kuwapiku kimasomo kwa ujumla labda kuanzia form three na uwe mzee wa msuli kweli
 
Nilisoma na hao waliokuwa wanaongeleshwa english nyumbani, mmoja akaishia kuwa gay baba yake aliyekuwa anajifanya kumlea kiinglish uswahilini akajifanya kumgeuka mwishoe mtoto akajiua, mwingine akachanginyikiwa alivyokuwa mkubwa kwa kukosa marafiki sasa mlevi wa kupindukia analala kwenye mitaro uswahilini na yeye ndiyo Mswahili kuliko hata sisi tuliolelelwa kikwetu Kiswahili, wakati sisi tuliolelewa kiswahili tuko stable na tumekuwa ma alpha male, kiingereza tumejifunza tumekijua kinatutosha kwenye ajira zetu na tunapokihitaji na pia tunajivunia Kiswahili na uswahili wetu!

naona umeamua kutunga stori ili kujustfy hoja zako, lakini all in all medium school is the best uki compare na hizo shule zenu za kata
 
Kwani private schools zinafundisha kingereza tuu???.....tofauti yao na kata ni lugha ya kufundishia tuu lakini masomo ni kati ya saba mpaka nane kama shule za bure.....hapa naona "sizitaki mbichi hizi"
 
Shule za kata zimetuletea janga kubwa.. amaa kweli wewe ni product ya shule za kata
 
Back
Top Bottom