Mwanangu atasoma shule ya kata kama mimi tu

Mwanangu atasoma shule ya kata kama mimi tu

Kijana kijana

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
2,546
Reaction score
2,624
moja kwa moja kwenye mada.
mimi nashangaa sana wewe maisha unaunga unga kula ya tabu mshahara haukutoshi kabisa eti unampeleka mwanao nursery ada zaidi ya milioni kwa mwaka,hivi una akili au matope???????

Akili ni kumpeleka mwanao akapate kila hatua ya ukuaji aendane na akili yake,haiwezekani toto la chekechea liongee kiingereza kama jitu zima alafu unasema maendeleo,upuuzi tu wakuu amini nawaambieni.

nakuambia ukijifanya unamsomesha mwanao upuuzi kama huo ambao hauendani na umri wake basi kuna vitu tu navyo vya kiutu uzima atavijua mapema mno.unadhani atajua english tu eenh?

ndo mana mitoto mingi(sio yote) ambayo imesoma shUKle za ghalama tabia zao mbovu kwa sababu wazazi wao walitaka watoto wayajue mambo makubwa mapema sana.

unasomesha mtoto ada zaidi ya milioni(au milioni)wakati hata kibanda huna kudadeki huu ni ujinga ambao wengi wanadhani ni ujanja.

ujanja mpeleke mwanao shule ya kata ya ada za kawaida ambayo atapata elimu kutokana na umri wake,ila zaidi zaidi ni hivi.

Usiende shuleni na njaa kama ambavyo baba yake alienda

asiende shule na nguo chafu kama ambavyo baba yake alienda

asiende shule umbali mkubwa kama ambavyo baba yake alienda,lazima umtengenezee mazingira mazuri ya kuendea shule ili asiwe na stress,sisi shule ambazo tulisoma enzi hizo mara nyingi mawazo ndo yalitufelisha mara ukirudi hna kula,mara matatizo matupu.uhakika ukimpeleka mwanao shule yenye ada ya kawaida au hata ya serikali na ukawa na SUBRA na huku unamfundisha mwanao maadili mema basi mtoto wako atkua vizuri tu.

pesa ya ada tunza baada ya miaka mitano una kiwanja na kamtaji kabiashara.

wakati wa kulipa ada mamilioni utafika tuu na wala sio chekechea bhana huo ni ufujaji pesa.

ETI kuongea kiingereza na mambo mengine ndo kukulipishe ada nyingi namna hiyo?upuuzi tu.

kama wewe ni mtu unapesa zako sikulaumu kwa sababu zipo nyingi peleka hata marekani uchezee pesa zako.lakini kama ndo mwenzangu na mimi tunaishi kwa mikopo achana na huo upuuzi

Sasa si ninajinyima kwa ajili yake,we we unaumia nini?

Watanzania wote tungekuwa na mawazo kama ya kwako basi hata jamiiforums isingekuwepo.

Acha mtu aipe familia yake kile ambacho kinamtuma.
mkuu huko ni kujinyima wewe na kumnyima mtoto wako.

hakuna familia imemtuma mtu eti ulipe mapesa mengi kwa sababu ya kujifunza lugha ya watu wengine utotoni na ilhali hapo hapo hao hao wanaowasomesha watoto wao lugha hyo ya kigeni wanataka masomo yafundishwe kwa lugha ya nchi yao.

huo ni uchwara ambao mwenye uchwara mwenyewe hajui kama anao.
kuna huduma za msingi sana za kumfanyia mwanao na sio kumharakishia kujua mambo ambayo yapo kinyume na umri wake.
 
Kujifunza Kiingereza kunazingatia umri? Ni lugha kama lugha nyingine, na ukiijua utotoni ni vizuri zaidi.
Kweli wewe ni zao la shule za kata.
kula like kwa kuvamia na kukurupukia uzi.

huu uzi hutakiwi kusoma kama unavofanya maamuzi ya kumpeleka mwanao shule za pesa ndefu ajue english wakati wewe baba unataka masomo yote yafundishwe kiswahili.

bado unakuwa hujafikiria mara mbili mbili.
 
Kujifunza Kiingereza kunazingatia umri? Ni lugha kama lugha nyingine, na ukiijua utotoni ni vizuri zaidi.
Kweli wewe ni zao la shule za kata.

Waafrika wengi wanaongea english tangia utotoni kama Kenya, Malawi, Zambia, Ghana &Co. lkn ndo bara masikini kuliko bara lolote lile Dunia hii kwa kila kipimo cha Umaskini kijulikanacho na binadamu!

Wakorea hawajui english lkn wanaisimamisha Dunia na nuclear power!
 
Hapo ni mfumo wa elimu kama ni ya kumkomboa mwanafunzi au kumkaririsha tu. Malengo na uchumi wa nchi, pamoja na uongozi bora ni upande wa pili. Vyote kwa upande wetu hatuna nia ya kujizatiti, tunaendekeza siasa tu.
 
habari za mwanangu za kwenda kuchezea bakora za mwalimu mwenye stress za mishahara na malimbikizo.sizitaki.
Nataka mwanangu a some shule ambayo mwalimu anathaminiwa.anapewa mshahara wake safi.
Hata kufundisha atapenda.
 
mkuu huko ni kujinyima wewe na kumnyima mtoto wako.

hakuna familia imemtuma mtu eti ulipe mapesa mengi kwa sababu ya kujifunza lugha ya watu wengine utotoni na ilhali hapo hapo hao hao wanaowasomesha watoto wao lugha hyo ya kigeni wanataka masomo yafundishwe kwa lugha ya nchi yao.

huo ni uchwara ambao mwenye uchwara mwenyewe hajui kama anao.
kuna huduma za msingi sana za kumfanyia mwanao na sio kumharakishia kujua mambo ambayo yapo kinyume na umri wake.
Nilichojifunza kutoka kwako ni kuwa una Poverty Mentality.
 
Nilipiga a ili mwanangu asiishi maisha niliyoishi.
Hatasoma shule za kata
Kiswahili ataongea na wenzake mtaani home ni English
Kiingereza si hoja,hoja ni kupata maarifa na malezi bora
 
Nami Mjukuu wangu naamini atapata Bwana wa Kumkaza Kama Nimkazavyo Bibiye
 
Lkn hafiki popote hata ukimuongela english nyumbani, kwa maana Mama ni low IQ hivyo mtoto hawezi kuwa na akili, kwani tayari umeshamjaza mtoto ujinga wa kutokujiamini tangia mtoto kwamba lugha yake haina thamani iweje aje kujithamini akiwa mkubwa?
mkuu kula like.

wabongo wengi hawajui wanachokitaka kabisa

hao hao ndo wanapiga kelele lugha ya elimu za juu iwe lugha yetu ya kiswahili lakini vitendo vyao vya ovyo kabisa
 
Tulipita sababu kulikua hakuna option ingine na tulifaulu sababu sisi ni vichwa,jaribu sasa uone?
Wanao watakua wananchi watwana!

Shindia mihogo mtoto aende IST acha ufala!
Huwa tunapingana hoja Me & U lakini leo huyu mleta uzi ni lofa!..
Alinikuta akaleta ujinga wake nazani uzi wa Nichumu nibebike naongelea ukiwa na uwezo mpeleke mwanao akasome hata mtaala wa nje huu wa bongo sio!.
Kafikiria gharama za kusomesha hajui babu yake angeona hizo gharama basi baba yake asingesoma na yeye mtoto asingeijua elimu!.
 
Upo on point mpwa!
 
tumekutana nao form one hao academia, wengi wao hadi mitihani ya english yenyewe tuliwapga vzur tu
 
Back
Top Bottom