Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,409
Kwa kweli Kiingereza kingeanzia shule ya awali kwanza watoto ni wepesi kukua na lugha mbiliHabari yako Mpendwa,
Unamaoni gani kuhusu matumizi ya lugha ya kufundishia katika ngazi zote za Elimu(Awali-chuokikuu),
Je,kiswahili kitumike au kiingereza kitumike au lugha zote kwa pamoja..?
Shukran!